Funzo ni kwamba kumbe akili za kuambiwa tuchanganye na zetu. Tusome vizuri katiba na sheria mbalimbali za nchi wakati wa kutekeleza majukumu yetu ya uteuzi. Hakuna aliye juu ya sheria kama sheria ikifuatwa bila kupindwa.
Mwenzetu akinyolewa sisi tufiche viwembe na mikasi badala ya kutia maji nywele zetu.