Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
kingereza inapunguza ujinga? kivipi mkuu?Kama sifa ni.
Kujua kusoma na kuandika tu.
Kusifu na kupiga makofi
Kukata mauno
Watafika hata 1000
Nashauri wabunge waoongee KINGEREZA WWAKIWA BUNGENI. Kwa siku japo 30 tu
Itapunguza ujinga mwingi bungeni
Namaanisha huu ujinga wa kila mtu kuhisi anaweza kuwambungekingereza inapunguza ujinga? kivipi mkuu?
Ondoa hiyo sifa ya kujua Kingereza siyo lazimaNamaanisha huu ujinga wa kila mtu kuhisi anaweza kuwambun
Naomba kuuliza ,kipindi cha Jiwe wengi sana namanisha 2020 , watu walichukua form maana walijua upo ubunge wa Bure na ilikua hivyo , tukajikuta tupo na Bunge hovyo kuwai tokea .Jumla ya watia nia 44 wanawake wamechukua fomu za kuwania nafasi mbalimbali za uongozi Mkoani Mtwara ikiwemo Ubunge,Ubunge Viti Maalum pamoja na Ubunge Viti Maalum Vijana Tanzania Bara.
Akitoa taarifa za watia nia wa nafasi hizo katika majimbo 10 yaliyopo mkoani Mtwara Katibu wa Siasa,Uenezi na Mafunzo Juma Hassan amesema kuelekea uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 2025 wanawake hao 44 waliyochukua fomu 24 ni wale wa kugombea Ubunge kwenye majimbo,18 Ubunge wa Viti Maalum na kwa upande wa wagombea Ubunge Viti Maalum Vijana Tanzania Bara ni wanawake 2 ambao ni Rehema Lukundu na Shakila Mpomo.
Amefafanua kuwa idadi ya watia nia hao wa nafasi ya ubunge katika majimbo 10 mkoani humo ikiwemo Jimbo la Tandahimba ambapo wanawake 2 wamechukua fomu kati ya wanaume 14,Mtwara mjini wanawake 3 ikiwemo Judith Nguli kati ya wanaume 9 akiwemo Hassan Mtenga anaetetea kiti chake,Mohamed Abdallah (Mudy Ray) na Joel Nanauka.
Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025
Aidha Mtwara vijijini wanawake 3 akiwemo Hawa Ghasia aliyewahi kuwa mbunge wa jimbo hilo na wanaume 5 akiwemo Arif Premji,Nanyamba mwanamke 1 kati ya wanaume 4,Newala mjini wanawake 3 kati ya wanaume 7 akiwemo Haruni Maarifa,Newala vijijini wanawake 2 kati ya wanaume 8.
Na Nanyumbu wanawake 2 kati ya wanaume 7,Lulindi wanawake 3 kati ya wanaume 9 akiwemo Issa Mchungahela na Sameer Murji,Masasi Mji wanawake 3 na wanaume 5 ambapo Geoffrey Mwambe anatetea kiti chake na Ndanda wanawake 2 kati ya wanaume 9 akiwemo Cecil Mwambe.
Idadi hiyo inafanya jumla ya watu waliyochukua fomu na kurejesha ni 98 wakiwemo wanaume 74 na wanawake 24,ubunge viti maalum 18 na wagombea ubunge kundi la umoja wa vijana ccm 2 na kufanya jumla ya watia nia wanawake 44 kuanzia juni 28 mpaka julai 2,2025.
View attachment 3392923
Mfumo jike unatafutwa kwa udi na uvumba.Jumla ya watia nia 44 wanawake wamechukua fomu za kuwania nafasi mbalimbali za uongozi Mkoani Mtwara ikiwemo Ubunge,Ubunge Viti Maalum pamoja na Ubunge Viti Maalum Vijana Tanzania Bara.