Ileje
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 9,524
- 13,682
Kwa sababu ya kukosekana uwazi na kanuni kupindishwa kwa maslahi ya wachache, sasa watia nia wote wa CCM matumbo moto kwa sababu hawana hakika majina yao yatakatwa katika hatua gani!
Hivyo baadhi yao wameamua ama kufanya ujasusi ili kujua kama wanakubalika na vigogo wa chama au kupotezea na kuanza kufikiria kuhama chama!!
Matokeo ya kadhia hii ni kujenga nyufa ndani chama na hatimaye kusambaratika kwa chama!!
Ushauri: Vigogo wa chama chukua hatua kurejea katika misingi ya chama ya haki na uwazi kunusuru kuanguka kwa nguzo muhimu za Chama!