SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,814
Wachache watakuelewa mkuuHili ndio tatizo la kuchukua fomu bila kumaliza kozi za ujasusi kuna kada mmoja wa CCM alikuwa anasema wanapewa vitabu wasome na marehemu bernard membe narudia mtakufa kama senene nyie fanyeni huo ujinga tu.
Mwenye kidinbwi akijipigia chapuo kidimbwi yake😁Wito unatolewa kwa watia Nia wote waliochukua Fomu kukutana katika hafla itakayofanyika Kidimbwi. Lengo NI kujenga network na kubadilisha mawazo.
Muda: Mtataarifiwa kupitia Wajumbe wa nyumba 10.
Punguza shoboHawa ndio viongozi bora wa nchi mnaoenda kuwachagua ?
Waache wakategwe waishie hukohukoWito unatolewa kwa watia Nia wote waliochukua Fomu kukutana katika hafla itakayofanyika Kidimbwi. Lengo NI kujenga network na kubadilisha mawazo.
Muda: Mtataarifiwa kupitia Wajumbe wa nyumba 10 (kwa ajili ya usalama wa washiriki).
Mbumbumbu wewe ungekuwa utaki shobo ungeleta hizi mada zako za vilaza wenzio public kwa watu wenye akili?Punguza shobo
SignedMlivyo na roho mbaya
Wengi wanawaza kutafuta sumu
Mkauwane tu halafu muanze kuomba michango
Sikuizi vilaza kila sehemu sasa mnaenda kidimbwi nyinyi ni viongozi bora au wachumia tumbo na wanastarehe na walevi?Wito unatolewa kwa watia Nia wote waliochukua Fomu kukutana katika hafla itakayofanyika Kidimbwi. Lengo NI kujenga network na kubadilisha mawazo.
Muda: Mtataarifiwa kupitia Wajumbe wa nyumba 10 (kwa ajili ya usalama wa washiriki).
DuuhPunguza shobo