Elections 2010 Watimuliwa kazi kwa kushabikia CHADEMA

Elections 2010 Watimuliwa kazi kwa kushabikia CHADEMA

Ramos

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2010
Posts
498
Reaction score
130
Gazeti la tz daima leo lina taarifa kuwa wafanyakazi wawili wa mgodi wa Buzwagi wametimuliwa kazi kwa kujihusisha na siasa na kuishabikia CHADEMA.

Inaonekana hawa jamaa wanajua kabisa kuwa CHADEMA ikiingia madarakani basi ubovu wa mkataba wao utawatokea puani...
 
Very sad.
CCM bwana ni chama cha madhulumati na wadhalimu wakubwa

Hii ndiyo iliyosababisha hata watu wengi ambao ni waajiriwa wa serikali, sekta binafsi na hata waliojiajiri kuogopa kujitolea mwaka huu kugombea au kukampenia wagombea wa upinzani kwani wanakuwa na hofu na hatma yao baada ya kujitangaza...
 
Very sad.
CCM bwana ni chama cha madhulumati na wadhalimu wakubwa

hapo kwenye red mkuu hebu nitafsirie 🙂

madhulumati kwa maana ya madhulumu wanawake au?
 
Back
Top Bottom