Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha shoboUnafika unachukua ticket yako ya kusubiri huduma, ticket imeandikwa waiting customer ni mmoja , Ila utakaa hapo unasubiri huyo mmoja amalizike masaa zaidi ya Mawili Hadi unaondoa matumaini.
Hii imekaaje CRDB
Sahihisha Heading basi. Apart from that hicho unachosema kiliwahi kunitokea. Niliwahi kukaa 1 hr nasubiri. Dirisha ambalo namba iliyoitwa kabla yangu haikuwa na mtu. Nikaenda kuuliza nikaambiwa subiri. Ilipopita 1 hr niliamua kuondoka.Unafika unachukua ticket yako ya kusubiri huduma, ticket imeandikwa waiting customer ni mmoja , Ila utakaa hapo unasubiri huyo mmoja amalizike masaa zaidi ya Mawili Hadi unaondoa matumaini.
Hii imekaaje CRDB