Wating ticket za CRDB

ejbirage

New Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
1
Reaction score
0
Unafika unachukua ticket yako ya kusubiri huduma, ticket imeandikwa waiting customer ni mmoja , Ila utakaa hapo unasubiri huyo mmoja amalizike masaa zaidi ya Mawili Hadi unaondoa matumaini.

Hii imekaaje CRDB
 
Acha shobo
 
Sahihisha Heading basi. Apart from that hicho unachosema kiliwahi kunitokea. Niliwahi kukaa 1 hr nasubiri. Dirisha ambalo namba iliyoitwa kabla yangu haikuwa na mtu. Nikaenda kuuliza nikaambiwa subiri. Ilipopita 1 hr niliamua kuondoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…