A
Anonymous
Guest
Wahudumu wa zahanati ya Msoga hasa baadhi ya madaktari hawako serious na wagonjwa, Leo nimefika kutibiwa hospitalini hapo kilichotokea ni kwamba wagonjwa wote tulipoingia chumba cha Daktari tukaambiwa hatuwezi kuendelea na huduma yoyote bila kupima pressure na uzito.
Shida inakuja anayehusika kupima pressure na uzito hayupo. Hivi kuna foleni ya wagonjwa zaidi ya 20 ambao wote tunasubiri kupima ndio twende kwa Daktari ili atusikilize na toka tuambiwe tukapime pressure ni zaidi ya saa sasa huyo mtoa huduma hayupo,
Vuta picha aje pengine saa Saba atupime pressure kisha ndio turudi kwa Daktari naye atuandikie vipimo vya kupima upya mfano x-ray n.k Kwa mgonjwa aliye serious si anaweza fia hospitali kisa mtu wa kupima pressure?