Napokea pongezi kwa mikono miwiliπ€£ naomba mnipe ukatibu mkuu tu.Ndugu mtoa mada kuna jamaa nimewasahau
Extrovert na Mpaji Mungu wako vizuri kwenye hiki kitengo wapewe vyeo tafadhal
Mwenyekiti raraa reree , Makamu mwenyekiti min -me , Katibu Extrovert au wajumbe mnasemaje?Napokea pongezi kwa mikono miwiliπ€£ naomba mnipe ukatibu mkuu tu.
Napokea Kwa mikono miwili ππ¦ΎNdugu mtoa mada kuna jamaa nimewasahau
Extrovert na Mpaji Mungu wako vizuri kwenye hiki kitengo wapewe vyeo tafadhal
Hakika wanahitaji pongezi π₯°π₯°Ndugu mtoa mada kuna jamaa nimewasahau
Extrovert na Mpaji Mungu wako vizuri kwenye hiki kitengo wapewe vyeo tafadhal
Kumbe bado mnakikumbuka πKiapo Cha yanga kufungwa
Mwamba kila sehem yupo, na anamwaga likes zake kama kawa πππ Sana yaan...notification 100 likes tuπ₯°π₯°
Tuambizane isije tukawa tunapita kimya kimya bila kujua tunapishana na gari la mshaharaππ
Tuko pamoja.