Anaoimba nao wengi hawajui kiswahili wanadhani anaimba vitu vya maana Sisi tunajua kiswahili huwezi kutudanganya
na hao anaoimba nao vilugha vyao na vingereza uzuri tunawaelewa nao hawaimbagi vitu vya maana pia[emoji23][emoji23][emoji23]
bila bila!
mziki ni beat,flowz
mbona tunapenda miziki ya akina manfongo
"tekenya tekenya tekenya"
em niambie ndugu kuna cha maana hapo?
lakini unakuta watu wanaruka kama wanasikiliza remmy ongala ..
hao akina akina wizkid
"Girl, I go follow you bumper to bumper
Girl, I go follow you bumper to fender
Oh baby ohh whine your waist
Girl, I promise to be your defender
Girl, I go love january to december
Tell dem hater, send back to sender
kuna cha maana hapo?
mziki wa kuimba upo, na wa kisasa upo!
mziki mzuri waliimba kina mbaraka mwishehe!!
siku hizi ni kuruka tu ...ilimradi watu wamependa!
sasa kama wafatisha mashairi mazuri utaumia moyo..
maana hao wa mashairi mazuri hawana maendeleo yoyote!