Renatus Edward
Member
- Aug 2, 2011
- 50
- 55
[emoji23][emoji23]wanaona hio 2nd dec haifiki[emoji23][emoji23][emoji23]watora mari kwa mara ya kwanza niliisikia kwenye radio KISS FM RWANDA.ilikuwa imerudiwa km mara 10 hv ndan ya ck1.najua huko kwa mugabe hauwez kuwaambia kitu.
Anaoimba nao wengi hawajui kiswahili wanadhani anaimba vitu vya maana Sisi tunajua kiswahili huwezi kutudanganyaNgoma hii ya Jah Prayzah jamaa waliimba sana "Watora Mari" mshikaji akawekwa kwenye ramani ya Africa na Chibu na Jah anaappreciate mchango wa Chibu lakini kwetu huku Tz hakuna, international artist wetu hatumkubali sijui Diamond afanye kitu gani wasanii wenzake hasa wanaojiita timu pinzani waweze kumkubali...nimewaza tu hapa wkt nataka kulala kuandika.
na hao anaoimba nao vilugha vyao na vingereza uzuri tunawaelewa nao hawaimbagi vitu vya maana pia[emoji23][emoji23][emoji23]Anaoimba nao wengi hawajui kiswahili wanadhani anaimba vitu vya maana Sisi tunajua kiswahili huwezi kutudanganya
yani wew gubichwa gwako gunawaza mabifu tu,Team kupumuliwa hizi ni taarifa mbaya sana, wanaona kama wamepigwa na ncha Kali kichwani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] salute mkuuna hao anaoimba nao vilugha vyao na vingereza uzuri tunawaelewa nao hawaimbagi vitu vya maana pia[emoji23][emoji23][emoji23]
bila bila!
mziki ni beat,flowz
mbona tunapenda miziki ya akina manfongo
"tekenya tekenya tekenya"
em niambie ndugu kuna cha maana hapo?
lakini unakuta watu wanaruka kama wanasikiliza remmy ongala ..
hao akina akina wizkid
"Girl, I go follow you bumper to bumper
Girl, I go follow you bumper to fender
Oh baby ohh whine your waist
Girl, I promise to be your defender
Girl, I go love january to december
Tell dem hater, send back to sender
kuna cha maana hapo?
mziki wa kuimba upo, na wa kisasa upo!
mziki mzuri waliimba kina mbaraka mwishehe!!
siku hizi ni kuruka tu ...ilimradi watu wamependa!
sasa kama wafatisha mashairi mazuri utaumia moyo..
maana hao wa mashairi mazuri hawana maendeleo yoyote!
na hao anaoimba nao vilugha vyao na vingereza uzuri tunawaelewa nao hawaimbagi vitu vya maana pia[emoji23][emoji23][emoji23]
bila bila!
mziki ni beat,flowz
mbona tunapenda miziki ya akina manfongo
"tekenya tekenya tekenya"
em niambie ndugu kuna cha maana hapo?
lakini unakuta watu wanaruka kama wanasikiliza remmy ongala ..
hao akina akina wizkid
"Girl, I go follow you bumper to bumper
Girl, I go follow you bumper to fender
Oh baby ohh whine your waist
Girl, I promise to be your defender
Girl, I go love january to december
Tell dem hater, send back to sender
kuna cha maana hapo?
mziki wa kuimba upo, na wa kisasa upo!
mziki mzuri waliimba kina mbaraka mwishehe!!
siku hizi ni kuruka tu ...ilimradi watu wamependa!
sasa kama wafatisha mashairi mazuri utaumia moyo..
maana hao wa mashairi mazuri hawana maendeleo yoyote!
mimi sio mtu wa mchezo mchezo[emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] salute mkuu