Bongotunacheza
JF-Expert Member
- Dec 7, 2018
- 983
- 2,306
Ni kwamba uchumi umeyumba au shule za English Mediums zimekosa mvuto ama nini?
Mtaani kwetu watoto almost 20 walikokuwa wanasoma shule za Ems now wamerejeshwa Kayumba.
Hii imetokea ndani ya kipindi cha mwaka mmoja toka mwakani Septemba.
Mtaani kwangu siku hizi hakuna tena bus la njano.
Nilianza Mimi kuwatoa wangu Ems na kuwarejesha Kayumba now naona Mtaa mzima watoto wamaerudishwa Kayumba.
Je, walikuwa wana niiga Mimi? Au kusomesha watoto Ems ni kama fasheni tu au maisha yameshuka? But wazazi wana maisha ya kati sidhani kama wanaweza shindwa kumudu gharama za shule hizo.
Wamiliki wa English Mediums, jitafakarini sana. Shule zenu zimeanza kupungua mvuto kwa kasi ya ajabu sana..