Watoto 4 wafariki na mmoja kujeruhiwa vibaya baada ya lori kugonga nyumba waliyokuwa wamelala

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,299
Lori la mizigo lapoteza mwelekeo na kugonga nyumba ya na kuuwa watoto 4 na kumjeruhi mmoja vibaya megonga nyumba
watoto hao walikuwa na umri kati ya miaka 12 na 17 lori hilo lilikuw linabeba mchanga kutoka Nyamitaburo kwenda Mabera, dereva wa lori hilo alikimbia baada ya ajali hiyo na polisi wanamtafuta
Mama wa watoto hao aliponea chupuchupu kwa kuwa alikuwa amelala chumba tofauti


Chanzo: Citizen Tv
 
Poleni, mkiambiwa mkae mbali na barabara huwa maana yake ni hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…