Sildenafil Citrate
JF-Expert Member
- Jan 29, 2021
- 577
- 2,595
Tatizo la kulawitiwa kwa watoto linalizidi kushika kasi nchini huku idadi ya visa vilivyoripotiwa kwenye kipindi cha mwaka 2016-21 vikiwa ni 5716 huku 87% ya visa hivi vikihusisha watoto wa kiume.
Mgawanyiko wa idadi ya wahanga ipo kama ifuatavyo-
Unadhani nini chanzo cha kuongezeka kwa janga hili? Kipi kifanyike kulikomesha?
Chanzo: The Chanzo
Mgawanyiko wa idadi ya wahanga ipo kama ifuatavyo-
- Mwaka 2016, wasichana walikuwa 50 na wavulana 487
- Mwaka 2017, wasichana walikuwa 59 na wavulana 442
- Mwaka 2018, wasichana walikuwa 133 na wavulana 1,026
- Mwaka 2019, wasichana walikuwa 212 na wavulana 1,193
- Mwaka 2020, wasichana walikuwa 115 na wavulana 885
- Mwaka 2021 kwa pamoja jumla ya watoto 1,114 walilawitiwa
Unadhani nini chanzo cha kuongezeka kwa janga hili? Kipi kifanyike kulikomesha?
Chanzo: The Chanzo