Watoto....best interest.....

Nimekumbuka kisa kimoja. Kuna kijana ameoa mzungu. Mzungu yuko Ok sana ana kazi ya maana kweli kweli na ni dada kijana. Sasa huyo kijana alizaa na binti akiwa secondari. Kwa sasa jamaa anaishi nje ya nchi. Alimwahidi yule binti alozaa nae kuwa atamuoa akimaliza masomo yake but bahati mbaya au nzuri kijana kapata dada wa kidhungu kaoa. Sasa shughuli ni kwamba yule binti alozaa nae amegoma kata kata kumruhusu kijana amchukue mtoto aende kuishi nae majuu. Basi yule mke wa jamaa (mdhungu) kamwambia jamaa basi si neno tumwamishe mtoto akasome international school hapo hapo Tz. Binti bado kaweka ngumu anasema eti huyu mtoto atasoma hapa hapa kijijini saint kanumba kwani ndizo zilizomsomesha baba yake. Yani wamechanganyikiwa kwani kijana anaona life ya mwanae (tena wa kiume) inaharibika hivi hivi kwa ligi ya mamake kisa alitaka amuoe kamuacha kwenye mataa. Hata kumuona mtoto inawabidi waende shule kwani mama yake hataki na amesema atawarogelea mbali. Nilicheka sana mdhungu anaongelea kurogwa.
(mdhungu ni shoga yangu ndiye aliyenipa details si kijana)


hapo kwenye kukomoana hapo,...mnh...Mwj1 pamoja na mapenzi yangu kwako, kina mama wengi wamejaaliwa hilo.
Kuna kina mama wachache waliojaaliwa mioyo ya huruma, mfanoi weye Mwj1 wangu, ...lol...(ulishaanza kununa ee?)
 
BJ mzima?
RR got 2 kids to take care of....
Thanx for the compliment....ila not that wise....
Ila ikija maamuzi kuhusu watoto wangu nitawalinda kwa nguvu zote....hata ikimaanisha kupindisha misimamo yangu!

Salama RR, naamini uko vyema na wewe!!

Oops! hongera sana, you must be a very responsible dad!!..yes, you're wise hata ukatae!!..

Asante kwa darasa la leo, nime elimia na kuburudika sana na hii topic!..Barikiwa sana!!
 

Aksante nyumba kubwa .....huu ni mfano tosha wa 'kukomoana' nilikosema
Yaani mambo ya we si umemwaga mboga, mie namwaga ugali!! ...............haki, maslahi ya mtoto yamewekwa kando kabisa imagine mtoto aje akue mtu mzima maisha yamgonge afu aambiwa mamake alikataa asisome International achilia mbali kuishi nje ya nchi kama atamwelewa.

Wengi wetu tumejikuta tuna vinyongo na wazazi wetu hasa wale ambao wametudenai baadhi ya haki zetu kwa kuwa tu kwao waliona inafaa....bila kujiuliza ni sahihi/inafaa kwa mwanangu??
 
Haaaaaaaa! nakusemelea kwa Babu Asipirini akupige bani...ndo nn mambo ya behind the scenes ukayaweka jamvini?Babuuuuuu!...uyu Ex Mtakatifu ananchokozaaa...
 
Aisee we dogo hili dhalilisho kama la Bi. Shelukindo......... nahesabu 1.............. 2................
Manda ni mjukuu kwa Babu Asipiri...ntashangaa ka' utanirushia mkongojo wako Babu...mm na ww utani kwenda mbele.WARNING: Una kila dalili za kumpoteza 'mwanao' wa ubatizo..yaelekea hizi sredi topic anazoanzisha zinaelezea matatizo aliyonayo...one.....two....am counting.
 
Haaaaaaaa! nakusemelea kwa Babu Asipirini akupige bani...ndo nn mambo ya behind the scenes ukayaweka jamvini?Babuuuuuu!...uyu Ex Mtakatifu ananchokozaaa...
Sema neno moja tu uone kazi ya babu ODM!

Aisee umenifumbua macho.......... ngoja niisome kwa makini sredi ya shetani mtakatifu..... am reading........

 
Sema neno moja tu uone kazi ya babu ODM!

Aisee umenifumbua macho.......... ngoja niisome kwa makini sredi ya shetani mtakatifu..... am reading........

Hommie hii thredi ni out of context kwa Manda.......kakurupuka kuchangia......

Back to topic....Nina hasira na mijitu inayotesa watoto kwa ubinafsi......kumbaf!
 


Well well well....... binti akawa konfyudi. Akakaa nalo yapata mwezi uzalendo ukamshinda, akafanya kosa moja kubwa mbalo sijui kama alipata muda wa kulijutia.......akamvaa baba yake "mlezi" kumuuliza...... Aisee nyie watu ngoja niishie hapa, Moskwito tishu haizitasaidia sana.....
 
Reactions: Mbu
Hommie hii thredi ni out of context kwa Manda.......kakurupuka kuchangia......

Back to topic....Nina hasira na mijitu inayotesa watoto kwa ubinafsi......kumbaf!
Hivi huyu kijana kumbe bado siyo?
 

Asee.....
 
Hivi huyu kijana kumbe bado siyo?
Khekheeeeee! usimsikilize huyu Babu ODM....hii inaitwa Commercial break...ata kwa luninga ipo..BTW anahangaika tu apa, trying to sympasize na nyie wadau, mm nina dossier files zake zoote...RR...harooo harooo harooo! nakupa LAST WARNING bfr kukufurumusha.... heshimu kiti cha shemejio.Back to the topic: Vp, mwanao wa nyumba ndogo Kishumundu ushamchukua aft kushinda kesi ustawi wa jamii?..damn u...!
 

ehhh? aliuliwa nini?
 
Aisee!

Kumbe nna kazi kubwa ya kufanya siyo?
 

ehhh? aliuliwa nini?

Hapo mbele ya bold ilipaswa niendeleze sentensi "mbele ya baba yake mlezi"......... Haya mambo yanatisha jamani, na yanaliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…