Watoto....best interest.....

Bwa' shem mtakatifu RR.....asante kwa ushauri murua...mtu kama Babu Asipirini linamgusa moja kwa moja...

BTW Ukiona Manyoa..Ujue Ashaliwa huyo...

Bon Appetite'?..!
 
Hivi si niliona Babu akiasa juu ya uchakachuzi wa hii thread ambayo ni useful yenye kutugusa wengi kwka namna moja au nyingine?? Waone vile
LD unafikiri kwa nini Mama anawezakuwa na chuki kiasi cha kumnyima mtoto wake haki ya kuwa na Baba yake?

Wakichachua wapeleke kwa pau.....kudaadeki...waone kilichomtoa kanga manyoya....
Kuhusu hilo swali lako....Mara nyingi ni ubinafsi....japo yawezekana baba akawa amepoteza uwezo wa kuwa baba!

Bwa' shem mtakatifu RR.....asante kwa ushauri murua...mtu kama Babu Asipirini linamgusa moja kwa moja...

BTW Ukiona Manyoa..Ujue Ashaliwa huyo...

Bon Appetite'?..!

Hizo kazi ya utktf nimezistaafu asee....ila mbona ulikana ile mimba ya mtoto wa grini eka?
 
Well Well........ Man U 7, Mrisho Ngasa (Yanga) 0.
 
Bwa' shem mtakatifu RR.....asante kwa ushauri murua...mtu kama Babu Asipirini linamgusa moja kwa moja...

BTW Ukiona Manyoa..Ujue Ashaliwa huyo...

Bon Appetite'?..!
Aisee we dogo hili dhalilisho kama la Bi. Shelukindo......... nahesabu 1.............. 2................
 

RR,....umeleta 'unyuzi' mzuri sana. Unyuzi huu unagusa wengi kwa namna moja au nyingineo.
Hapa pia kunahusisha watoto ambao tangu wangali tumboni wazazi wao kwa namna moja au nyingine
walikosa kufikia muafaka wa mimba na mtoto atapozaliwa.

Kuna incidences ambazo mtoto alikoseshwa haki zake na kuja kutambulishwa kwa baba yake siku ya msiba
yaani mwana analetwa kuja kutoa last respect tu kwenye jeneza la baba yake. Bahati mbaya, hili halichagui umri,
kuna wengine wanaletwa wangali wadogo, kuna wengine wanaletwa wakiwa kwenye teen age...

Ni mada nzuri sana na itatufundisha mengi tukiichukulia seriously.
 
Mmmh hawa watakatifu wazamani, wanakuaga na point siku ya Ijumaa kweli? Dah ubarikiwe kwa somo zuri.

hahaha inabidi niulize kama jana umelalia ubavu upi manake sikujua kama Ijumaa imeshafika? LOL

halafu umemchafua Hommie mtakatifu wa zamani, inabidi umsafishe asiee...inauma sana

mtafutie RB ukimwona tu kamata tupa selo kesho yake mahakamani...iwe funzo kwa wengine....

Mmmh ex-Saint ni nini? Ndio maana haiwezekani point zitoke ijumaa bana kumbe ni pre-friday Kaizary! Abarikiwe ex-mtakatifu.
Nyie watu hapo juu........ hili yuziful sred mnalijadilia ubazazi gani?

Hivi si niliona Babu akiasa juu ya uchakachuzi wa hii thread ambayo ni useful yenye kutugusa wengi kwka namna moja au nyingine?? Waone vile
LD unafikiri kwa nini Mama anawezakuwa na chuki kiasi cha kumnyima mtoto wake haki ya kuwa na Baba yake?
Naona hawakuiona, nimeibandika tena hapo chini..... Atakayekiuka maagizo ya babu, ntatema mate chini akojolee puani!

 
najua baba wengu huwa wanachukulia poa ndo maana hata mimi nafurahia kuwa na baba(but now he is no more) kwa ishu ya watoto wadogo mam ndo bora zaidi kuliko baba..
 

Experience mbaya kabisa!

Jamaa yangu baada ya kuachana na mkewe, mke alimsafirisha kabinti ka mwaka mmoja kukapeleka akalelewe na Babu na bibi yake kijijini. Yeye mama ni muajiriwa mjini, na baba mfanyabiashara mkubwa tu. Kila jamaa yangu alipodai mtoto alishia patupu.

Mbaya kuliko yote, wazazi wa mke hawakutoa ushirikiano wakati wa uchumba mpaka ndoa, na sasa ndoa imekufa ndio kabisa jamaa yangu hawezi hata kutia mguu huko ukweni.

Kesi ipo mahakamani huyu ndugu yangu anadai haki ya kukaa na mwanawe, pesa zinaliwa tu...
Imagine kabinti ambako muda huu kangekuwa kanakula raha mjini, leo hii yupo kijijini huko?..aarrghhh, inauma sana.
 

Kuna kitu sikielewi....sheria inataka mtoto akae na mama....au sheria inampa mama haki ya kuamua mtoto akae wapi.....
 
Kuna kitu sikielewi....sheria inataka mtoto akae na mama....au sheria inampa mama haki ya kuamua mtoto akae wapi.....

...nitakujibu sasa hivi,...napekua 'makabrasha' hapa...
 
Kuna kitu sikielewi....sheria inataka mtoto akae na mama....au sheria inampa mama haki ya kuamua mtoto akae wapi.....
Ukishaelewa usisahau kunifahamisha na mimi pia. Ako konfyuzd pia.
 


Mbu hii case imeniuma saaaana... mana inaonekana afadhali hata jamaa anajali welfare ya mtoto kuliko hata mama... Kweli ulimwengu wa leo hii mtu unaishi hapa mjini usione wala usielewe umuhimu wa exposure ya mtoto mjini ni nini?? Huko kijijini sisemi kua ni kubaya BUT ukweli ni kwamba ukitaka umwandae mwanao vizuri - then ni bora alelewe na wewe mjini.... Yaaaani unaniambia kabla ya mahakamani alitumia taratibu na busara zoote lakini bado akagonga mwamba?? (in red 100% reciprocated...Sad...)
 

Uhakika wa kwamba angekua mjini angekua anakula raha ungetoka wapi?!Kukaa kijijini kunamkosesha raha ipi haswa kama analelewabila manyanyaso?!Kuona magari?!Huyo baba angemlea mwenyewe nyumbani au angemwacha na mama wa kambo/mfanyakazi?!Una uhakika gani kama ndivyo angelelewa vizuri?!

Wakati mwingine inabidi kabla ya mama au baba kulilia kukaa na mtoto kwa kisingizio cha nna pesa aangalie kama atakua na muda kweli na huyo mtoto au la.Na kama hatakua na muda je atakaemwachia mtoto ana ukaribu nae kiasi gani cha kuweza kumwamini hata kumwachia mwanae.Huyo unayemwongelea yeye ni kama anashindana tu kwasababu anataka kukomoana na mama mtu.Though sio wote wamama wengi wanajua nini ni bora kwa watoto wao.Na huyo mama nampongeza kwasababu atakua ameona kwamba kwa shughuli zake hawezi kua na mwanae muda mrefu kwahiyo akaamua kumpeleka kwa wazazi wake waliomlea yeye (hivyo anawafahamu vizuri pamoja na malezi yao) wamsaidia na kumpa mtoto nafasi ya kua karibu na watu ambao ni ndugu zake.

Kwa mara nyingine nadhangaa kauliz yako ya ‘mtoto yuko kijijini wakati angekua mjini anakula raha‘ kwasababu raha hazipo kwenye mji au kijiji bali kwenye malezi na mazingira anayokulia mtoto.Binafsi nililelewa kijijini na bibi yangu na kaka yangu akalelewa mjini ila sikuwahi kumuonea wivu au na mimi kutaka kuhamia mjini.Na nilipoulizwa nilikataa even though nilikua naenjoy kufanyiwa kila kitu na wafanyakazi nikienda likizo bado niliyapenda zaidi maisha ya kijijini.Sehemu ambayo nilikua huru kucheza barabarani bila kuogopa magari,kucheza na watoto wengine kwasababu hakukua na mageti ya kufungiwa ndani na pia kujifunza vitu ambavyo watu wa mjini hawana muda navyo.Kwahiyo hiyo dhana ya kwamba mjini ndo kwenye raha ondoa..hamna sehemu zuri ya kukua kama una familia nzuri kama kijijini.Mwenyewe natamani siku moja mtoto wangu apate expirience nilizopata mimi kipindi hicho ambazo nna uhakika maisha ya mjini hayawezi kumpa.
 
Haki ya Kuishi na Kuheshimiwa
Mtoto ana haki ya kuishi kuheshimiwa, kupumzika, kuwa na uhuru wa mawazo, kupata matibabu elimu na makazi bora kutoka kwa wazazi au walezi wake au taasisi yeyote ambayo inahusika na uangalizi wa mtoto.

umeona hapo?....Mtoto ana haki, mama/baba ana wajibu tu kuhakikisha mtoto anapata haki yake.

 
Reactions: RR
Mheshimiwa Moskwito..........

Kuna tofauti kubwa sana kati ya MAMA na MWANAMKE ALIYEZAA!
 

Daddy reared you well! You make him so proud.
 

...Asha Dii umeandika ya maana sana hasa hapo penye wekundu,...mahakama kesi inarushwa mpira bana, Mwanamke nae amejizatiti kutumia 'pesa' kuhakikisha haki inacheleweshwa. Ngumu sana mambo haya.


Tofauti ya kimtizamo BabyGal. Mimi sijawahi lelewa wala kuishi kijijini. Vijijini huwa napita tu, na kwa hali niionayo hakunipi chembe ya matumaini kwamba kuna Elimu nzuri, Huduma za Afya za kuridhisha nakadhalika compared na mjini ambako mtoto angejuana vyema na wazazi wake tangu angali mdogo.

BTW, umegusia jambo la maana kwamba mtoto analelewa kwenye mazingira ya upendo.
Kulelewa na babu na bibi ilhali Baba na Mama wana uwezo wa kukulea sidhani kama ni tafsiri sahihi ya kupendwa na wazazi wako, au?
Again, nazungumzia tofauti ya kimtizamo, kwani sijawahi lelewa na Babu wala bibi.
Nifafanulie hapo nipate kufahamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…