Watoto....best interest.....



Wewe Babygal hivi bila kuenda mbali.... wewe ungelelewa kijijini completly ungekua na exposure ya kua na access ya JF hapa saizi??



Hizo circumstances za kijijini zilikuaje?? Majority inajulikana kabisa akisema kijiji... ni kijijini kweli... huyo mtoto alotolewa mfano hapo, huyo mamake unafikiri kweli anajali welfare ya mtoto kama inavo onesha dhahiri wewe ulikua unalelewa?? labda utuambie ni kitu gania kilifanya uamuzi wa kulelewa wewe huko ulikua ni upi/ au kwa nini??
 
Wewe Babygal hivi bila kuenda mbali.... wewe ungelelewa kijijini completly ungekua na exposure ya kua na access ya JF hapa saizi??

Of course! Why not? I gave my BabyGal everything. Just because I reared her in a rural small town, that doesn't mean she was deprived. I made sure she got everything that I felt she needed to have including exposure to a lot of things.

Don't underestimate folks who live in rural areas and think that somehow they aren't as sophisticated as urbanites.
 
Mheshimiwa Moskwito..........

Kuna tofauti kubwa sana kati ya MAMA na MWANAMKE ALIYEZAA!

...na kweli bana,....utamtambua mke/mume uliyeoana nae kuwa ni mwanamke/ume wa aina gani mkishaachana
 
Kuachana............! I hate kuachana aisee!

Naam, hata Mwenyezi Mungu hapendi, ila watu bado twaaachana.
Huo utakuwa ni unyuzi unaojitegema kwanini watu wanaachana.

Kuachana kunakoathiri maisha ya watoto ndiko Hon. RR anatuumiza kichwa hapa.
Yaani mzazi mmoja wapo anapoamua kutumia mtoto kumkomoa mzazi mwenziwe,
mfano wa shemeji yangu aliyeamua kumtelekeza mtoto kijijini ili Ex- husb wake asiweze kumuona asilani!
 





Ok wakuu...
Kiumjula sehemu kubwa ya vijiji vya kitanzania vimetawaliwa na umaskini...japo kuna vijiji vingine ni vizuri sana (hata natamani kuishi huko niachane na kero za mijini).....ni vema huu mjadala wa ni wapi kuna maisha mazuri ukaachwa (mnaweza kuunzishia thredi yake....:biggrin1🙂

Hoja ya msingi ni wazazi wanaposhindwa kupata ufumbuzi muafaka unaohusu maisha ya watoto wao, inapotokea kutoelewana kati yao!

BTW: Natamani insights zaidi za kisa cha BabyGal.....(ila kuna jamaa anatoa macho kwelikweli)
 
najua baba wengu huwa wanachukulia poa ndo maana hata mimi nafurahia kuwa na baba(but now he is no more) kwa ishu ya watoto wadogo mam ndo bora zaidi kuliko baba..

mam bora zaidi? mam ambaye yuko bize na hana kipato cha kutosha akiondoaka anamterekeza mtoto kwa mtu yoyote ama nalazimika kuandamana na mtoto huyo mpaka sehemu yake ya kazi; ilhali baba na nafasi an mapenzi ya kweli na mtoto; na aana uwezo wa kumlea mtoto huyo?
 
najua baba wengu huwa wanachukulia poa ndo maana hata mimi nafurahia kuwa na baba(but now he is no more) kwa ishu ya watoto wadogo mam ndo bora zaidi kuliko baba..

Suala la mzazi yupi bora ni irrelevant mkuu...
Kila mzazi ana jukumu lake kwa wakati wake....si sawa na kusema moyo ni bora kuliko ubongo....
 
Reactions: Mbu

Come on Man!! I am not underestimating... and if you say you are from rural areas it is evident you do agree with me that the environment is below ordinary for a child to be brought up kisasa especially in the globalized village to today... (hapa i am talking about that village wametolea tangazo somo la Computer - watoto wanafananisha na TV)...You say it is a rural small town.... I bet there is electricity... there is net access... atleast a zahanati with atleast a kamzushi Doctor.... Hapa am talking about genuine village area and its related environment... And please do not just keep the phase up just because your baby said so.... tell her the truth as much as she was in the village you did your best for her to get the best - BUT note that the child in question (refer to Mbu) is believed to be in worse conditions...
 
Reactions: Mbu

Unaposema kwamba hudhani vijijini kuna elimu nzuri na huduma ya afya kuridhisha unamaanisha kwamba wote waliopo mjini wanapata huduma nzuri ya afya na kusoma kwenye shule nzuri?!Kwasababu kama hicho ni kigezo cha kushusha maisha ya kijijini na kupandisha ya mjini basi naomba nikwambie kwamba umefeli.Popote pale ili upate vitu hivyo viwili wa kiwango cha juu na cha kuridhisha basi unahitaji pesa ili kuvilipia.Basi kama ilivyo mjini hata vijijini huduma nzuri zipo kinachohitajika ni pesa yako tu.Na ndio maana bado naamini kwamba huyo mama alifanya jambo la maana kama pesa ya matumizi na kumwezesha mwanae kuishi/kusoma na kulelewa vizuri huko kijijini kwao haikosekani.

Tukirudi kwenye swala la “baba/ mama kua na UWEZO WA KULEA“ nadhani unakosea sana unapofikiria uwezo wa kulea upo kwenye pesa pekee.Maana kwa ulivyomwelezea huyo rafikiyo ni dhahiri sio yeye ambae angeshinda na mtoto nyumbani kuhakikisha kwamba anakula na kushinda salama.Wazazi wengi mjini hata nusu saa ya kukaa chini na kuongea na watoto wao hawana kutokana na pilika pilika za mji.Sasa kumlea mtoto katika mazingira hayo hata kama anapata all the latest barbie dolls and little fire tracks it still won‘t make up for the time you/or anyone else closely related to them should spend with them.
Na ndio maana nikasema kwamba muhimu ni mtoto kulelewa kwa upendo na kuyafurahia mazingira aishiyo..kuishi na baba/mama kunaweza kusimpe chochote kati ya hayo mawili hata kama wanatumia pesa kibao kumpeleka hosp akipata homa au kumpeleka shule ambayo haimpi mapenzi anayoyahitaji nyumbani kwasababu wazazi wako bize kutafuta pesa na mtu pekee aliye karibu nae ni mfanyakazi ambae anaweza asiwe
na mapenzi yoyote na huyo mtoto kiasi cha kuweza kumlea kwa taratibu zifaazo.Wakati mtoto huyo huyo angelelewa kijijini (unapopaona duni as if watu wote unaowaona mjini walizaliwa na kulelewa mjini ndo maana wameendelea) na akapata mapenzi mara mia ya ambayo angepata directly toka kwa mzazi wake.
 
Nadhani hapa mmeshindwa kuelewana hence kubadilisha point aliyoitoa... Issue sio mjini au kijijini Issue ni upendo.., ofcourse ni heri kuishi pangoni / au mtaani kwa upendo kuliko nyumbani / mjini kwa masimango na chuki...

what matters ni upendo na wewe uliishi kwa upendo wa bibi (well and good) na sio kwamba wazazi wako hawakukupenda, lakini labda ni circumstances zilizopelekea hivyo....., nadhani all that matters from mzazi kwa mtoto ni kufanya everything in his power kumpa mtoto platform nzuri ya maisha yake na vitu hivyo ni:-
  • Love
  • Good knowledge, education ili imsaidie mbeleni
  • food and shelter.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…