Watoto....best interest.....

Suala la mzazi yupi bora ni irrelevant mkuu...
Kila mzazi ana jukumu lake kwa wakati wake....si sawa na kusema moyo ni bora kuliko ubongo....
The problem is some parents dont take their responsibilities..., and they are more of a bad influence than good influence..., You know you might be a biological father/mother lakini ukashindwa kuwa mlezi wa watoto...

There is more in being a father/mother.., and that is taking care of your children and the one who does maybe he/she should be given credit as well (and deserves to be called a father/mother).. You know although 9 months in a mothers womb matters a lot and few seconds of a fathers performance.... lakini maybe a lifetime of care and love has got its impact
 

Sidhani kama tumetoka nje ya mada maana bado tunajadili iweje mzazi akatae mwenzake kukaa na mtoto alafu hata yeye asikae nae matokeo yake ampeleke kijijini kwa wazee.

Hhehe kuhusu kisa changu ruhusa toka kwa baba inahusu.
 
Tatizo nilionalo mimi ni juu ya ufahamu, ukomavu na kujitambua kwa wanandoa/walioko ktk mahusiano/wapenzi /wachumba etc, wengi wao huingia ktk mahusiano pasipo utambuzi wa aina juu ya umuhimu na madhara ya mahusiano. Ktk muda mfupi hugombana, hutengana na kuachana hivyo husababisha matatizo kwa watoto wao. Single parent inabidi ikomeshwe, watu/wazazi waepuke mapenzi ya kukurupuka!
 

Just an FYI, small towns/ rural areas are the best when it comes child rearing because you don't have most of the vices that are in urban areas. In small towns kids aren't exposed to drugs, crime, prostitution, and other related activities that may pollute the mind of a child.

Mind you, kids are very impressionable. They learn what they live.
 

Nani mwenye mamlaka ya kuamua mtoto apate wapi mapenzi usemayo? Hapa ndo kunabeba masilahi ya mtoto....


I second....

I am PROUD of all Men wenye msimamo huu.... KEEP IT UP.... ODM.... Bravo!!

Dah....kuachana ni ngumu sana kumeza ADI....

hommie hata mi nimeona aisee....

Aseee....
 
Sidhani kama tumetoka nje ya mada maana bado tunajadili iweje mzazi akatae mwenzake kukaa na mtoto alafu hata yeye asikae nae matokeo yake ampeleke kijijini kwa wazee.

Hhehe kuhusu kisa changu ruhusa toka kwa baba inahusu.


Naomba ujibu maswali yangu uloluka.... naona itatusaidia kukupata where it is coming from... (only if you don't mind...)
 
Aisee...c'mon and open your eyes.....ngoja ODM mwenyewe atakuja kukwambia hapa ukweli wenyewe LOL

What does ODM stand for? I always see it around this forum but have never really understood what is stands for. Do you mind enlightening me?
 
Sidhani kama tumetoka nje ya mada maana bado tunajadili iweje mzazi akatae mwenzake kukaa na mtoto alafu hata yeye asikae nae matokeo yake ampeleke kijijini kwa wazee.

Hhehe kuhusu kisa changu ruhusa toka kwa baba inahusu.

Kama mama hawezi kukaa na mtoto...kwa nini basi baba asiwe second option? Kwa nini mama ajiamulie kwamba mzazi wake ndo bora kimalezi....kwa asimhusishe baba wa mtoto...hata kama ina maana ya kupoteza?

BTW: the dude is right here....i actually saw and indication of go ahead....lol
 
Reactions: Mbu
Aisee...c'mon and open your eyes.....ngoja ODM mwenyewe atakuja kukwambia hapa ukweli wenyewe LOL
You know me well buddy, do me a favor.......... tell him!
 


My saying that they should be brought up in town depends entirely on the cognitive sense of the above in blue....

And FYI i was talking about villages... (My kids are brought up in a small rural town - But have access to things muhimu katika dunia ya leo)..

Mr D... I am more interested in talking about a kid who is brought up in a village... Period! Thus still IMO... Mjini bora zaidi...
 
Reactions: Mbu

My dear, a village is a small town. It's just a matter of semantics. So whether you choose to use village or rural small town, in essence you are talking about the same thing.
 
Tell me what? About what ODM stands for or you want him to be your character witness and tell me how morally upright you are?
I stand for our African traditions and customs........ I practice what our ancestors preached......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…