C chayowa JF-Expert Member Joined Aug 15, 2011 Posts 413 Reaction score 110 Feb 26, 2013 #1 Habari wadau, Hivi kuna njia wanandoa mwaweza fanya mkapata watoto mapacha? Au inatokea tu bahati kuwapata Nawakilisha
Habari wadau, Hivi kuna njia wanandoa mwaweza fanya mkapata watoto mapacha? Au inatokea tu bahati kuwapata Nawakilisha
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,767 Reaction score 23,198 Feb 27, 2013 #2 ivf watapandikiza embryo mbili loh