Shirika la Umoja wa Mataifa la elimu, sayansi na tamaduni UNESCO limesema watoto milioni 250 wa
shule ya msingi duniani kati ya watoto milioni 650
hawajui kusoma na kuandika na hata kufanya hesabu rahisi. Hii ni kulingana na ripoti ya shirika hilo inayotolewa kila mwaka (DW Kiswahili).
Je mtoto, mdogo wako au ndugu yako ni miongoni mwao?
Kwanini hali hii nchini Tanzania imekuwa mbaya zaidi kuliko miaka 30 iliyopita?