Watoto na viatu

Watoto na viatu

fired

Senior Member
Joined
Apr 4, 2021
Posts
151
Reaction score
311
Watoto baada ya kumaliza michezo yao, kila mtoto anachukua kilicho chake na kwenda kwao. Anabaki mtoto mmoja akilia kwa majonzi, ikabidi aulizwe na majibu yalikuwa hivi (nimeibiwa viatu vyangu), akaambiwa amuachie Mungu kwani yatakwisha. Akajibu(Siwezi kumuachia Mungu kwani zilikuwa ndogo hivyo yeye haviwezi kumtosha) nitafute kwenye faceboo
 
Back
Top Bottom