Watoto nao.

Watoto nao.

Che Kalizozele

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2008
Posts
777
Reaction score
50
Ilikuwa ni siku ya mtoto wa afrika,Juma alikuwa akisikiliza kipindi cha watoto katika redio,na mtangazaji alikuwa akimuhoji David kuhusiana na siku hiyo.

Mtangazaji: David,ungependa serikali iwafanyie nini nyie watoto hasa ukichukulia leo ni siku yenu?

David:Mie naomba serikali itupe sisi watoto kipaumbele.

Juma aliyekuwa akisikiliza:Watu wengine bwana,badala ya kuomba gari,eti tupewe kipaumbele! Kwanza kipa uwa akai mbele.Huku akionesha kukasirika.
 
Back
Top Bottom