Assets ni nini na liabilities ni nini?
assets ni nali inayoongezeka thamani kadri siku zinavyokwenda mfano dhahabu,hisa za makampuni,majengo...n.k
liabilities ni vitu unavyonunua kwa pesa nyingi lakini vinapungua thamani kila siku
mfano magari,nguo viatu n.k
The boss hapa umetupeleka chaka..assets ni nali inayoongezeka thamani kadri siku zinavyokwenda mfano dhahabu,hisa za makampuni,majengo...n.k
liabilities ni vitu unavyonunua kwa pesa nyingi lakini vinapungua thamani kila siku
mfano magari,nguo viatu n.k
The boss hapa umetupeleka chaka..
Hii maana ya assets na liability umeitunga mwenyewe!!
Hiyo uliyodefine hapo siyo maana ya assets wala liabilities... hamna haja ya kugoogle, ni vitu ambavyo nimevisoma na navifanyia kazi.google........au uliza watu...
usibishe kitu for fun too......
The boss hapa umetupeleka chaka..
Hii maana ya assets na liability umeitunga mwenyewe!!
[SIZE=-1]NOUN:[/SIZE]
- A useful or valuable quality, person, or thing; an advantage or resource: proved herself an asset to the company.
- A valuable item that is owned.
- A spy working in his or her own country and controlled by the enemy.
- [FONT=arial,sans-serif][SIZE=-1]assets[/SIZE][/FONT]
- Accounting The entries on a balance sheet showing all properties, both tangible and intangible, and claims against others that may be applied to cover the liabilities of a person or business. Assets can include cash, stock, inventories, property rights, and goodwill.
- The entire property owned by a person, especially a bankrupt, that can be used to settle debts.
The boss hapa umetupeleka chaka..
Hii maana ya assets na liability umeitunga mwenyewe!!
Nakubaliana na wewe NN..Liability ina maana kadhaa na katika muktadha huu maana yake ni mtu au kitu kinacholeta matatizo.
Hiyo uliyodefine hapo siyo maana ya assets wala liabilities... hamna haja ya kugoogle, ni vitu ambavyo nimevisoma na navifanyia kazi.
wazee wa kiswahili ndo huwa wanaita watoto wao 'pensheni'. MwJ1 alishatoa uzi hapa abt watoto wa kike kuonekana sio kitu,mwisho wa siku ndo wanafanikiwa na kukumbuka walau kuangalia wazazi. the true joy of a parent ni kuona mtoto amekua na kufanikiwa kimwili na kiroho,whether anakugea hela or nt!
Nimekukubali The Boss kuwa una kunakumbukumbu!wewe kila kitu humu umesomea na unakifanyia kazi?????/
wewe sio ndo ulisemma unafanya kazi ya kujenga nyumba na umesomea?
sasa leo umesomea finance,business na investments????/
siku ile ulisomea house buildings???????/
ukiwa muongo uwe na kumbukumbu.....