YoungCorporate
JF-Expert Member
- Apr 30, 2010
- 391
- 114
he heeee kumbe wewe ndi mnao amini kuwa magari ni assets na utajiri....lol
hongera sana....
corrola nayo ni asset??? sina uhakika na luxury cars like ferari
but as far as ninavyojua,gari zote ni liabilities...
wajuzi zaidi wanaweza changia...
dah! kweli unakipaji cha kubishana!! gari likawa liability?!! .......au ww unaongelea gari la kukodisha?!!
hahahahahah....Kati yangu mimi na wewe nani hajui kitu? Huoni kila mtu kashangazwa na definition yako?wewe hujui kitu
na umekariri......ndo maana unawatumia watu hapa badala ya kutonesha hiyo mba yako
uliyosomea ulielewa nini????
dah! kweli unakipaji cha kubishana!! gari likawa liability?!! .......au ww unaongelea gari la kukodisha?!!
Kwa nini gari lisiweze kuwa liability? The moment you move that car out of the lot it starts depreciating and the longer you keep and use it the more negative equity you incur.
So Boss is right on the money.
hahahahahah....Kati yangu mimi na wewe nani hajui kitu? Huoni kila mtu kashangazwa na definition yako?
Kwenye kudiscuss maswala ya mapenzi unafanya vizuri sana but when it comes ni kuongelea nondo..upo shallow sanaaa!
Naona leo niendelee kukupa elimu...Asset haiwezi kuwa liability at the same time...linachotokea ni kwamba..unachoripoti wewe kama asset, mwenzako anakiripoti kama liability.wewe endelea kubishana
hata nyumba inaweza kuwa a liability....
nyinyi bado mko nyuuma mno kwenye haya mambo.....
nini assets na nini ni liabilities.....ni topic kubwa saana.....
kwa ufupi asset yeyote ile inaweza kuwa ni a liability.....
bisha na hilo.....
Naona leo niendelee kukupa elimu...Asset haiwezi kuwa liability at the same time...linachotokea ni kwamba..unachoripoti wewe kama asset, mwenzako anakiripoti kama liability.
MFANO mikopo ya Bank... kwako wewe unayechukua bank mkopo unakuwa na liability...lakini bank the same mkopo inaripoti kama Asset

hahahah...kwweli wewe kwenye finance upo shallow!kumbe huwa unajaribu kunipima?
eti nondo..what nondo?????
unafikiri nondo ni kukariri na kuja hapa jf??????/
hivi wewe umewahi hata kunua hisa wewe?
unajua maana ya bond????
hata mlango upi unaanzia wa kuanzisha benki tz unaujua??????
nikikwambia nina benki yangu inakuja ?unaweza kunipima vipi hapo????
Imebidi nikupe mfano wa mtoto wa Chekechea cuz huelewi maana ya assets na liabilitiessasa ndo umeongea nini?
umeona ulivyo kariri????????
unajitia aibu mno....
wewe kariri....
walioelewa wana take actions.....
kwa ufupi asset yeyote ile inaweza kuwa ni a liability......
[h=1]Evander Holyfield's House Under Foreclosure… Again[/h] by Tom Royce on June 25, 2009
Evander Holyfield's home is massive. When you drive by it (it is not far from our house) you think it is a museum. But the cost of maintaining the home and the other expenses that the aging boxer are wearing out his resources and for the second time in a year the home is under foreclosure.
A notice published last week in the Fayette Daily News revealed the former heavyweight boxing champion is in danger of losing his 109-room Fairburn mansion. The lien holder is demanding full repayment of the original $10 million loan, with an auction scheduled for July 7 on the Fayette County Courthouse steps.Having met Evander around town and heard stories, he is a good man with a big heart. But the excesses that mark a typical professional athletes life seems to leave them broke more times than not. Sure they get amazing paychecks, but they also spend at rates that would make a normal person faint. Just a little self discipline and common sense would make such a huge difference in their lives.
Holyfield did not return a call seeking comment.
Last June a foreclosure notice was issued for the manor at 794 Evander Holyfield Highway, but "The Real Deal" was able to strike a deal to stay in his home, which sits on 235 acres just south of the Fulton County line.
The 46-year-old Holyfield also has a second Fayette property, at 592 and 596 West Bridge Road, under foreclosure, with an original loan amount of $216,000.via ajc.com.
Naona leo niendelee kukupa elimu...Asset haiwezi kuwa liability at the same time...linachotokea ni kwamba..unachoripoti wewe kama asset, mwenzako anakiripoti kama liability.
MFANO mikopo ya Bank... kwako wewe unayechukua bank mkopo unakuwa na liability...lakini bank the same mkopo inaripoti kama Asset
Mimi nazaa ili waje wanisaidie kuniondolea matatizo yanayotokana na kutokuwa na watoto, kama vile upweke na kadhalika. Ninaamini kila mtu anazaa ili waje wamsaidie bwana acheni uongonu upumbavu mno kuzaa watoto kwa lengo la eti waje kukusaidia hapo baadae..
upumbavu kabisaa....