Watoto ni liabilities jamani na si assets dah!


exactly my point.....
nyumba ina thamani mfano ipo kigamboni..
ghafla serikali inatangaza kuwa eneo hilo ni la mradi..
nyumba hhiyo sasa huwezi kuikopea pesa bank au kuiuza kwa thamani yake...
so nyumba ilikuwa assets na imekuwa a liability pia....
 
Haya wandugu sie vilaza tushajua sasa asset ni nini na liability ni nini. Turudi kwenye mada watoto ni assets au liabilities
 
Jamani you can't change the reality..." An Asset is a resource controlled by an entity or person as a result of past events and from which future economic benefits are expected to flow to an entity/person.......

Liability is a present obligation of an entity arrising from past events, the settlement of which is expected to result in an outflow from an entity of resources emboyding economic benefits.



kusema hivyo basi a car can be an Asset as we expect when realised an economic benefit is expected otherwise is a liability....mtoto hayupo hapa maana ukisomesha usitegemee akulipe.
 
dah! kweli unakipaji cha kubishana!! gari likawa liability?!! .......au ww unaongelea gari la kukodisha?!!
kasome kitabu cha koyosaki, RICH DAD, POOR DAD" GARI NI LIABILITY
 
..... watoto ni "liabilities" and not assets. .....

Hazole,

Duh! ...sijui watoto wakae upande gani wa balance sheet (Liabilities? Assets?) kwani mimi naamini watoto wako katika kundi la "Owner's Equity" yaani sehemu ya familia ambayo inabidi iongezeke kama Mungu alivyosema tuzae ..tuongeze mtaji wa dunia..

Haya nipe.."Owner's Equity iko upande gani wa balance sheet?
 
Tulizo...huku unaenda mbali zaidi.
Watu hapa JF wakiongozwa na The Boss hawaelewi maana Assets na Liabilities.. Ukiwaletea tena story za Owner's Equity utakuwa unawapa kizunguzungu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…