Watoto Njiti: umuhimu wa Mama Mjamzito kula mlo kamili na vyakula vyenye Madini Chuma

Watoto Njiti: umuhimu wa Mama Mjamzito kula mlo kamili na vyakula vyenye Madini Chuma

Status
Not open for further replies.

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Joined
Aug 7, 2018
Posts
685
Reaction score
1,124
XG5.png

Mlo kamili (balanced diet) ni muhimu kwa ajili ya maendeleo mazuri ya afya ya mjamzito na mtoto tumboni na kumuepusha na hatari ya kujifungua #MtotoNjiti

Pamoja na mlo kamili, mjamzito hupewa virutubisho ziada (supplements) kwa ajili ya kuongeza madini kama chuma na Foliki

Mlo kamili unajumuisha vyakula vya wanga, protini, mafuta, vitamini, madini na maji
 
Upvote 0
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom