Mimi nadhani huyu mtoto kamwona babake amekasirika hana raha pengine mama ndio ameenda kwao. Sasa mtoto amejaribu kumuondoshea babake yale mawazo na attention yake iwe kwa huyo mwanawe. Mtoto hajakosa adabu bali ni kweli atakuwa ni miongoni mwa wale wa Masaki na Oysterbay, anajuwa ama anajaribu kumhandle babaye akiwa na hasira za mamake.
Waonaje hapo???