Manfried
JF-Expert Member
- Oct 11, 2024
- 1,288
- 4,074
Ipo siku mtakumbuka huu Uzi Ila nawaambia vijana wa 2000 ndo wataleta mabadiliko ya kweli katika hili Taifa.
Hiki ndo kizazi kimezaliwa katika nyakati ngumu sana, kizazi ambacho mtu anasoma degree Ila anakuja kulipwa 150K
Kizazi kinachopitia mateso .
So hiki kizazi Serikali inatumia nguvu kubwa kukifanya kifatilie mpira wa yanga na simba Ila hawatofanikiwa.