Ipo siku mtakumbuka huu Uzi Ila nawaambia vijana wa 2000 ndo wataleta mabadiliko ya kweli katika hili Taifa.
Hiki ndo kizazi kimezaliwa katika nyakati ngumu sana, kizazi ambacho mtu anasoma degree Ila anakuja kulipwa 150K
Kizazi kinachopitia mateso .
So hiki kizazi Serikali inatumia nguvu kubwa kukifanya kifatilie mpira wa yanga na simba Ila hawatofanikiwa.
CCm daimaIpo siku mtakumbuka huu Uzi Ila nawaambia vijana wa 2000 ndo wataleta mabadiliko ya kweli katika hili Taifa.
Hiki ndo kizazi kimezaliwa katika nyakati ngumu sana, kizazi ambacho mtu anasoma degree Ila anakuja kulipwa 150K
Kizazi kinachopitia mateso .
So hiki kizazi Serikali inatumia nguvu kubwa kukifanya kifatilie mpira wa yanga na simba Ila hawatofanikiwa.
Hakuna kizazi kimepitia mateso nchi hii' kuzidi cha 1970s-1980s,shule hakuna,chuo kikuu kimoja,ajira hakuna,maisha magumu siyo kama nyuma, barabara vumbi/tope,kila kitu utumie nguvuIpo siku mtakumbuka huu Uzi Ila nawaambia vijana wa 2000 ndo wataleta mabadiliko ya kweli katika hili Taifa.
Hiki ndo kizazi kimezaliwa katika nyakati ngumu sana, kizazi ambacho mtu anasoma degree Ila anakuja kulipwa 150K
Kizazi kinachopitia mateso .
So hiki kizazi Serikali inatumia nguvu kubwa kukifanya kifatilie mpira wa yanga na simba Ila hawatofanikiwa.
Usisahau kizazi chenye udumavu mkubwa wa lishe.Ipo siku mtakumbuka huu Uzi Ila nawaambia vijana wa 2000 ndo wataleta mabadiliko ya kweli katika hili Taifa.
Hiki ndo kizazi kimezaliwa katika nyakati ngumu sana, kizazi ambacho mtu anasoma degree Ila anakuja kulipwa 150K
Kizazi kinachopitia mateso .
So hiki kizazi Serikali inatumia nguvu kubwa kukifanya kifatilie mpira wa yanga na simba Ila hawatofanikiwa.
Miaka hiyo vijana walikua waoga kupita maelezo ila miaka hii vijana wanaujasiriHakuna kizazi kimepitia mateso nchi hii' kuzidi cha 1970s-1980s,shule hakuna,chuo kikuu kimoja,ajira hakuna,maisha magumu siyo kama nyuma, barabara vumbi/tope,kila kitu utumie nguvu
FactUnadhani akitoka CCM atakaeingia zaidi ya changes za initials kutakuwa na mabadiliko makubwa zaidi ya initials ? The whole political system worldwide is rotten; a bunch of self serving individuals..., kama mambo hayatabadilika kutakuwa na some sort of revolution duniani the like of french revolution then other countries leaders will start taking note..., Kwa sasa naona wimbi linaloendelea ni la Populists ndio watakuwa wanashinda kutokana na siasa la kulaumu tabaka fulani (though they will not bring any major change);
Kwa bongo bado watu wana hope kwahio bado kuna leeway wa walamba asali kujirudi unless kesho nayoiona inatisha...