Watoto wa Bata bukini wanapatikana

Embu naomba kuuliza wakiwa watoto wanachanjwa ndui
 
Hawa hawana maradhi hayo kabsa hata ukamtupa jangwani anaendelea vizuri
 
Pata bata bukini wakubwa kwadogo sasa wanapatikana bata ambao niwasafi nabata mzinga pia wanapatikana karibu 0757662401

huyu bata nizaidi hata ya umbwa leo wameniulia nyoka saaafi sana
 
Hata mchawi hafiki tena kbs dawa yao ndio hii
 


Kitomari nakushukuru kwa uaminifu wako mzigo nimepokea nasubiri kanga tu sasa najipanga nikuagize na bata mzinga na kuku pia hao ndio watoto wa bata bukini ulionitumia naanza kuwaandalia mazingira mazuri ya maisha ya majini muda si mrefu.
 
Bata Bukini kutoka kwa Kitomari
 

Attachments

  • 1378594088517.jpg
    48.6 KB · Views: 156
  • 1378594118616.jpg
    57.1 KB · Views: 199

utakua umefanya vyema sana karibu
 
Pata bata bukini wakubwa kwadogo sasa wanapatikana bata ambao niwasafi nabata mzinga pia wanapatikana karibu 0757662401



Mkuu, biashara haijiuzi kimaneno tu bali picha na bei inabidi ziwekwe bayana kwani hata potential customer akiona anashikwa na shahuku ya kukutafuta kwa maelezo zaidi.
 

huna haja ya kufuga mbwa teari uko na mlinzi tosha bata anaechukiwa na kila aina ya adui huyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…