Watoto wa chuo wapo kama mchwa wana njaa kali sana

LICHADI

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
4,491
Reaction score
12,560
[emoji23][emoji23][emoji23] hawa watoto ukitaka kufilisika jifanye umependa utapewa majukumu hadi ya wazazi wao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hakuna madem wenye njaa kali na wasanii kama madem wa chuo aloo ukitka ufaidi tafuta mpambanaji mwenzio tu hawa mchwa piga sepa wewe weka kambi uone
 
Watoto wa chuo tuachieni wenye hela ama tunaoweza kuwahudumia tuwale bila shida.

Kama huna hela nenda kwa wamama na mashangazi ya mjini huko unapewa bure kabisa.

Tafta hela ama kubali kuhudumia watoto wazuri wabichi, low mileage, natural Viagras.

Halafu mbona watoto wa chuo matumizi yao madogo sana, ni vocha, hela ya piza na matumizi madogo madogo wanaridhika hawana shida.
 
Dem wa chuo akutangazie ofa yake ucku mmoja bei gan ukule usepee .

Vinginevyo na hapo n lawamaa km hziii unazoleta hapaa πŸ˜…πŸ˜…
 
Wewe umefilisika nini
 
Kuna lecture mmoja ana wabadilisha kama nguo, ni maumivu kwakweli
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwani mpaka leo hii haujaoa tu mkuu?Watakuambukiza magonjwa ya "zinaa" kama vile "malaria,kuhara,degedege na asthma" mkuu.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Unachunwa mpaka mifupa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu mnachekeshaaa, lol
 
Dem wa chuo akutangazie ofa yake ucku mmoja bei gan ukule usepee .

Vinginevyo na hapo n lawamaa km hziii unazoleta hapaa [emoji28][emoji28]
Jamaniiiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watoto wa chuo mnaitwaa hukuu, kuna jamboo lenu hapaa.
Woiiiih [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbona hata kama huna pesa unawala tu, kikubwa usiweke kambi piga sepa.......hao kugawa kwao sio shida utahudumia huku kuna classmates wanasugua free kabisa,, na wanakuaga na mabwana wakuhudumia vitu mbali mbali, huyu atalipa kodi, huyu atanunua iphone huyu wakumpeleka road trip akapige mapicha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…