mali za hawa viongozi ingetakiwa sisi wote tushiriki kwenye mirathi maana ni keki yetu ya Taifa.π€£π€£Watoto watatu wa aliyekuwa waziri mkuu na makamu wa kwanza wa Rais wa Tanzania Cleopa Msuya wameingia katika mvutano wa kisheria kuhusu usimamizi wa Mirathi ya baba yao .
Kisa hiki ni moja ya visa vingi vinavyotokea mara baada ya mmiliki wa mali anapofariki watoto au ndugu hufarakana sana na kupelekana mahakamani na wengine kufikia hatua ya kuuwana.
Source. Gazeti la mwananchi
Nyingi ya mali za namna hii huwa ni zile zilizopatikana kwa namna zisizoelewekaWatoto watatu wa aliyekuwa waziri mkuu na makamu wa kwanza wa Rais wa Tanzania Cleopa Msuya wameingia katika mvutano wa kisheria kuhusu usimamizi wa Mirathi ya baba yao .
Kisa hiki ni moja ya visa vingi vinavyotokea mara baada ya mmiliki wa mali anapofariki watoto au ndugu hufarakana sana na kupelekana mahakamani na wengine kufikia hatua ya kuuwana.
Source. Gazeti la mwananchi
ok.πWatoto watatu wa aliyekuwa waziri mkuu na makamu wa kwanza wa Rais wa Tanzania Cleopa Msuya wameingia katika mvutano wa kisheria kuhusu usimamizi wa Mirathi ya baba yao .
Kisa hiki ni moja ya visa vingi vinavyotokea mara baada ya mmiliki wa mali anapofariki watoto au ndugu hufarakana sana na kupelekana mahakamani na wengine kufikia hatua ya kuuwana.
Source. Gazeti la mwananchi
Africa uninafsi unatumaliza. Ndio maana hatutengenezi matajiri. Baba kakusanya, mitoto kwa ubinafsi inakuja kutawanya. Hapo utasikia wanajisemea, tugawane kila mtu afe na chake ππππWatoto watatu wa aliyekuwa waziri mkuu na makamu wa kwanza wa Rais wa Tanzania Cleopa Msuya wameingia katika mvutano wa kisheria kuhusu usimamizi wa Mirathi ya baba yao .
Kisa hiki ni moja ya visa vingi vinavyotokea mara baada ya mmiliki wa mali anapofariki watoto au ndugu hufarakana sana na kupelekana mahakamani na wengine kufikia hatua ya kuuwana.
Source. Gazeti la mwananchi
Ni matajiri weusi tu,Manji family umesikia issue ya mahakamani?Familia tajiri huacha migogoro kwa wanafamilia, tofauti na familia masikini huacha madeni ya mazishi
Mtu yeyote msomi / familia ya wasomi haya mambo kugombea Mali za mzee utasikia kwa familia za mafukara wa AKILI (maskini wa akili) hakuna UMASKINI mbaya kama UMASKINI wa MAARIFAWatoto watatu wa aliyekuwa waziri mkuu na makamu wa kwanza wa Rais wa Tanzania Cleopa Msuya wameingia katika mvutano wa kisheria kuhusu usimamizi wa Mirathi ya baba yao .
Kisa hiki ni moja ya visa vingi vinavyotokea mara baada ya mmiliki wa mali anapofariki watoto au ndugu hufarakana sana na kupelekana mahakamani na wengine kufikia hatua ya kuuwana.
Source. Gazeti la mwananchi
Ilitakiwa kabla ya kufariki kila kijana apewe sehemu yake ya kusimamia.
Mkuu, nadhani hapa unapaswa kuangalia kwa kina kabla ya kuhukumu na kusema 'ubinafsi unatumaliza.' Naruhusiwa kuweka disclaimer hapa kwa sababu namfahamu binafsi mtoto wa kwanza wa Mzee Msuya, yaani George Msuya, na nimeshafanya naye kazi miaka ya huko nyuma. Nakuhakikishia kwa asilimia mia moja, hawa watoto wako tofauti sana na wale watoto wa viongozi wengine tunaowajua sisi ambao baba zao walishika madaraka makubwa kama ya huyu Mzee.Africa uninafsi unatumaliza. Ndio maana hatutengenezi matajiri. Baba kakusanya, mitoto kwa ubinafsi inakuja kutawanya. Hapo utasikia wanajisemea, tugawane kila mtu afe na chake ππππ
Hapa ni engineer TU wanawaza wasiwe na njaa, nikuhakikishie TU huyo daktari, sijui mkaguzi wa tehama Wana njaa TU , na huenda bila mirathi ya baba yao wangekuwa sakala flani, ila nimependa mzee kafa na watu wanagombania Mali zako Ina maana ulitimiza wajibu wako duniani , mzee angejua angezaa watoto na wanawake tofauti tofauti isingeleta shida Kwa sababu kabla hujafa unandika mirathi sababu unajua ukifa TU Kuna ******* watauana kisa Mali zakoMkuu, nadhani hapa unapaswa kuangalia kwa kina kabla ya kuhukumu na kusema 'ubinafsi unatumaliza.' Naruhusiwa kuweka disclaimer hapa kwa sababu namfahamu binafsi mtoto wa kwanza wa Mzee Msuya, yaani George Msuya, na nimeshafanya naye kazi miaka ya huko nyuma. Nakuhakikishia kwa asilimia mia moja, hawa watoto wako tofauti sana na wale watoto wa viongozi wengine tunaowajua sisi ambao baba zao walishika madaraka makubwa kama ya huyu Mzee.
Hawa si watoto wa 'kuhongwa' magari, kuishi kwa uvivu, au kufuja mali wakitegemea jina la baba yao. Mzee Cleopa Msuya alisifika kwa kusomesha watoto wake na kuhakikisha kila mmoja anasimama kwa miguu yake kitaaluma na kuwa na maisha yake ya heshima:
Mkuu, watu wenye akili hizi, wasomi wa kiwango hiki, na wenye kazi zao kubwa hawawezi kwenda mahakamani kwa 'ubinafsi wa njaa' au 'kutawanya mali'.
- George Msuya β Mtoto wa kwanza, ni Mhandisi (Engineer) mbobezi na mwenye weledi wa hali ya juu kwenye kazi zake.
- Dr. John Msuya β Mtoto wa pili, ni Daktari wa Binadamu (Medical Doctor) mwenye taaluma yake ya heshima.
- Dr. Joyce Msuya Mpanju β Mtaalamu wa masuala ya mazingira na microbiology, aliyefikia hadi kuwa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa UNEP na sasa ni Afisa Mwandamizi wa ngazi ya juu kabisa Umoja wa Mataifa (UN).
- Job Msuya β Naye pia ni Mhandisi (Engineer) anayejiheshimu.
- Naanjela (Angela) Esther Msuya β Mtaalamu mbobezi wa ukaguzi wa mifumo ya TEHAMA (IT Systems Audit).
(Kumbuka mtoto mwingine, Geofrey Msuya, alitangulia mbele ya haki tangu mwaka 2005).
Kisheria na kiungwana, kwenda mahakamani kupinga usimamizi wa mirathi sio ugomvi wala sio uharibifu; bali ni kutafuta tafsiri sahihi ya kisheria na kulinda mali zisipotee. Kwenye shauri hili la sasa, Job Msuya alienda mahakamani kuomba amri ya kulinda mali (kama vile nyumba ya Upanga) kwa sababu aliona wasimamizi wenzake wanafanya maamuzi bila ridhaa ya pamoja. Huku si kutawanya, bali ni kulinda mali isiyuzwe kienyeji au kwa bei ya chini chini chini ya kiwango.
Hawa watoto wana fedha na kazi zao. Wanachofanya sasa ni kusimamia taratibu zilizonyooka ili kile alichokiacha baba yao kibaki salama na kigawanywe kwa haki na uwazi. Wangekuwa hawajasoma au hawana akili, wangesafiri na mapanga au kurogana, lakini kwa sababu wameelimika, wametumia chombo halali cha sheria ambacho ni Mahakama Kuu.
Tusiwalaumu watoto kwa kutumia akili na sheria kulinda urithi wao!
SoFamilia tajiri huacha migogoro kwa wanafamilia, tofauti na familia masikini huacha madeni ya mazishi
Mkuu, nadhani hapa unapaswa kuangalia kwa kina kabla ya kuhukumu na kusema 'ubinafsi unatumaliza.' Naruhusiwa kuweka disclaimer hapa kwa sababu namfahamu binafsi mtoto wa kwanza wa Mzee Msuya, yaani George Msuya, na nimeshafanya naye kazi miaka ya huko nyuma. Nakuhakikishia kwa asilimia mia moja, hawa watoto wako tofauti sana na wale watoto wa viongozi wengine tunaowajua sisi ambao baba zao walishika madaraka makubwa kama ya huyu Mzee.