Watoto wa familia kupendana kimapenzi daah siwezi kusahau hili tukio !!

LAW. :18:9
Utupu wa umbu lako, binti ya baba yako, au binti ya mama yako, kwamba alizaliwa nyumbani mwenu au kwamba alizaliwa kwengine, utupu wa hao usifunue.

Kwa mujibu wa maandiko umefanya kosa fanya toba kwa Muumba wako
 
Kwa iyo ww na babako mmeshauriana baba ale kuku ww vifaranga? Ayaa ni ww tuu ,ila sio poa sana think twice na mueleze
 
HIVI MMESHAFUNGA SHULE!??
 
Mkuu,kitabu cha mambo ya walawi kinakataza hayo mambo...umetenda kosa kubwa sana huyo ni dada yako wa damu hata kama siyo mtoto wa baba yako,jitahd utubu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…