Watoto wa IGP Mstaafu Omari Mahita walioajiriwa na Jeshi la Polisi Tanzania wako wangapi?

-Jiulize swali kwa Nini Hata hao Polisi wakisikia Nafasi za Kaz TRA na BoT na wao wanaomba? Unafikiri kwa nn?
 
-Hayo magari na magorofa si kitu cha kawaida Sana kwa Maafisa wa BoT, TRA Tena maafisa wa kawaida tu
- Forodha ndiyo miongoni mwa engine ya uchumi wa nchi
hiyo ndio point yangu sasa mkuu kwamba polisi nayo sio kazi ya kinyonge watu wanaishi,sijasema inazidi hizo secta za BOT,ila ukiwa mtumishi wa BOT ni ngumu kupata pesa kila muda
unamuona hata huyo mahita aliye trend ? hawezi kuwa amekaa kizembe lazima kashapiga deal nyingi tu
 
Aah sijamaanisha ni kazi ya Kinyonge Maofisa Waandamizi wa Polisi wanazo Pesa ni kweli hatukatai.
 
🤣🤣🤣😂!! Yaani Kota za Polisi ni Tanuri la Kupika Mitoto Mitukutu!! Labda siku hizi watakuwa wamestaarabika kidogo lakini zamani, dah!!
 
Generally, watoto wa askari ndo wapo hivyo... iwe polisi, magereza au JWTZ, ni full utukutu!
 
..Utarithi ulichokikuta labda itokee uwe 'outlier'....kama kuna mzazi mwalimu huenda kuna mtoto akawa mwl na hata kada zingine mambo yapo hivyo.
Sure! NI nadra sana eti watoto wooote wasirithi kazi ya mama au baba yao!!
 
🤣🤣🤣😂!! Yaani Kota za Polisi ni Tanuri la Kupika Mitoto Mitukutu!! Labda siku hizi watakuwa wamestaarabika kidogo lakini zamani, dah!!
siku hizi wamepoa sana,mambo ya boarding schools pia yanachangia nadhani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…