Watoto wa JPM

Mtemikwila

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2013
Posts
1,389
Reaction score
1,063
Jana Mtoto wa Dada yangu aliniuliza swali la kizushi, Eti Mjomba ukichanganya OMO na FOMA unaweza kupata povu??
Nikamjibu, Lazima upate kwa kuwa zote ni sabuni za unga.
Kisha nikamwambia,Siku nyingine usiwe unauliza maswali ya kipumbavu.
Akaniambia majibu yako ndio yakipumbavu. Utapataje povu bila kuweka na maji?
Tangu Jana najiuliza nimekosaje swali kizembe?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[HASHTAG]#sasa[/HASHTAG] namtafutia sababu afanye kosa nimtie bakora za maana kwa kunivunjia heshima.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…