Habari wana jamii,
Nina imani nipo kwenye jukwaa sahihi kama sivyo basi mtanilekebisha hii ningeiweka wapi.
Kuna kitu huwa kinanisumbua akili yangu siku zote juu ta watoto wachanga wanapokuwa wanazaliwa, Nijuavyo mimi Vichanga vya Kiafrika vikizaliwa huwa na nywele kichwani,,, sasa kwa hawa wenzetu wazungu Vichanga huwa vinazaliwa bila nywele.
sasa hii kitu huwa sielewi inakuwaje hapo,,, Naombeni msaada wenu juu ya hilo.
asanteni