Itabidi niombe darasa la jioni Mwalimu, naona hapa leo panataka kuchafuka!
Twende tu mdogo mdogo Mwalimu, mwisho wa siku tutaelewana,Usijali Kimey, hapa haribiki neno hapa ndani. Leo ni kuwa real tu mwanzo mwisho :]
Sema kama upo tayari turudie chapter ....😛
Lizzy Ambrose au Mrs. Ambrose. Which one sounds better?Leo tunakula kwa mama ntilie....nimechoka!!
Twende tu mdogo mdogo Mwalimu, mwisho wa siku tutaelewana,
Hebu nipe msemo mmoja nikatumie upande wa pili kuna mtu nataka kumpa.. lol
hahahaha tuanze kwa kupigia "lines" kwanza, maana naona hata Babu ODM kule upande wa pili hali imegeuka kidogohahaha inategemea unataka kupigia "lines" au unataka "kumtimua" ......
Hahahaha....your the boss...you decide!!Lizzy Ambrose au Mrs. Ambrose. Which one sounds better?
hahahaha tuanze kwa kupigia "lines" kwanza, maana naona hata Babu ODM kule upande wa pili hali imegeuka kidogo
Mashallah jazakhalaa...Hahahaha....your the boss...you decide!!
Mtoto wa kike kulelewa kama mwanaume ndiyo nini hasa na maana yake ni nini? kwa hiyo wanawake wawe kundi gani? Mfano mimi nimelelewa maisha ya ujasiri kazi kwa sana, kusoma kwa sana tena day school na nikirudi kuna siku napalilia mahindi shamba, wakati wa mavuno naenda shamba kuvuna mpunga. Nimelima bustani za nyanya na mbogamboga hapo nyumbani hivyo kupelekea sokoni tulikuwa tunaenda kununua vitu vichache sana. bustani za maua kibao ndiyo kazi yangu. Na zaidi ya yote nilifaulu tena hadi chuo kikuu. Sijawahi hata mara moja kuambiwa eti uwe kama mwanaume, so what? mimi ni mwanamke na nitakuwa hivyo daima sina sababu yoyote ya kujivunia jinsia ya kiume hao wanaume wenyewe nilikuwa nawatupa mbali darasani sasa niambiwe uwe kama mwanaume kwa lipi hasa!!!!!!!! acha mwanaume aitwe mwanaume na mwanamke aitwe mwanamke kwani hawa wote kila mmoja ana nafasi yake katika jamii. Am proud to be a woman always!!!!
So whats my name ?!Mashallah jazakhalaa...
Mrs. Lizzy AmbroseSo whats my name ?!
Bwoiii...aint i lucky!!Me likey...Mrs. Lizzy Ambrose
Disturbing...
Gaijin unajua the good thing ya kusema jamvini ni nini??? You really don't give a damn if someone judges..
We are people behind this Avatars sometimes so different from the real person..
Watu wanizungukao... hawajui the real me hata kidogo kuliko hata hapa jamvini tokana na the fact kua
twaepusha kudharaulika, kua judged basing on your past life in relation na jinsi unavyoishi...
Siwezi ishi maisha a lie hata jamvini a lie??? i would be suffocating my self... ofcoz kuna vitu
basics naweza lie jamvin as wapi naishi, married or not, age, and the like but not my experience!!
Tumetofautiana personalities, kuna mtu hapa jamvini anataka aji paint kua yeye ni saint..
well i know I am not... na kuna mambo nimefanya ktk macho ya jamii yetu yakawa mabaya
but jamvini i don't mind what i expose for it is the only way i can express exactly how i feel
whether somebody loves/hates it... believes/do not believe..
The first post nilituma na ikakudisturb... i wanted to share kua ni moja wa mtoto wakike alokua
anapendwa na babake regardless alikua 48 but cried at my wedding thus the brief history..
You being disturbed that much has just given me an impression (sorry if am wrong..)
that unataka watu tusitoe personal experiences ambazo mtu hapendi...
Oh! and sorry for maelezo marefu, neva been able tu narrow it down!
I actually find it very moving. I am sure kama wanaJF wote wangeshare their past here, usingependa hata kuzisoma. Usione watu wanakatiza mitaani wakitabasabu na kucheka ukadhani they had perfect lives. Some have gone through difficult lives you could imagine. I normally try not to make assumptions of other personal lives.
Ingawa bado sijaoa ila natamani binti yangu awe na tabia za kujiamini ambayo ndo wanaume wengi wanayo,ila kuzidi kujifanya mwanaume unaweza usiolewe mana anajua utamwonea tu au kuwa mbishi,Sisi darasa la kwanza mpaka la saba tulikuwa tunapigwa vichwa na msichana mmoja,kila mtu anamwongopa na mpaka leo ni single wakati rika lake wameolewa,nani anajua may be wanaume wameogopa.
Ngoja nikwambie Asha. Your daddy wala si wa ajabu kulia. He is just like my dady. Kwenye harusi zetu zote baba yeye ni full tears. Na kwetu hakuna aliyeolewa na 18. Mfano mimi nimeolewa na 27. Kwa hiyo usidhani ungeolewa late asingelia, angelia tu. He loved you so much that he could not believe that there is any other man capable of taking good care of you. may he RIP.