Watoto wa kike na baba zao

EMT, Upload link hapa.. no need to bother The Boss...lol..

Unfortunately, posts kwenye ile thread went to the extreme, Mods wakaihamishia Jukwaa la Wakubwa.
 
Unfortunately, posts kwenye ile thread went to the extreme, Mods wakaihamishia Jukwaa la Wakubwa.


EMT... sasa unanifanya niwe conviced there is somthing i am missing huko...lol..
Nikija jiunga in the future nitakukumbusha for i neva forget. Now i get why you
ulini refer kupata habari...
 
Reactions: EMT

Inawezekana. B'se kuna rafiki yangu Mkenya alishaniambia kuwa wanawake wa Kitanzania ni wakaribu sana. Hiyo ni kama miaka 10 iliyopita. Nilipomwuliza why akasema alitembea na mwanamke wa Kitanzania Kilimanjaro, baada ya kumaliza mambo, mwanamke akamshukuru kwa kumwambia "Asante". Jamaa anasema alishtuka na hakuamini. Anasema that does not and will never happen in Kenya. I told him inawezekana ilikuwa ni one off "Asante" lakini huwa anakuja sana Tanzania for that purpose na anadai "Asante" anazipata. Kila Mmalawi niliyekutana naye, kwenye mazungumzo lazima aseme I like your women. Now, I don't bother asking them why because it could probably be the same old story. Lakini sio kwa wanawake tuu. Hata wanaume ni "wakarimu" pia. Ndio maana uligombaniwa Kenya na Uganda. lol.
 

mkuu
unaambiwa wakenya
akitongoza mwanamke mfano kahaba
wakakubaliana atamlipa 15,000 asubuhi
iwapo huyo mwanamke atakunywa na kula
gharama ikafika 3000 mfano.
basi asubuhi atalipwa 12,000...

so hivyo ndo wakenya wanaume walivyo.pata picha lol
 
Reactions: EMT
EMT... sasa unanifanya niwe conviced there is somthing i am missing huko...lol..
Nikija jiunga in the future nitakukumbusha for i neva forget. Now i get why you
ulini refer kupata habari...

Kawaida thread iliyowekwa MMU ikiwa explict au na posts ambazo ni explicit inahamishiwa Jukwaa la Wakubwa. Labda ndio maana unakuta baadhi ya watu wanalalamika thread/posts zimefutwa kumbe zimehamishwa na hawana access na kule. Na kama umepost kwenye hiyo thread iliyohamishwa, utaonekana pia kwenye lile jukwaa though, you don't have access to it, or you don't even want to go there. Nafikiri kuna haja ya Mods kuliangalia hili. Kwa hiyo Ashadii, posts zako nyingi ziko kule, though you do not have access to it. I bet you don't even know this. Do you? Naomba na hii tuwe waangalifu isije ikahamishiwa kule.
 
Jamani acha wanawake wawe kama walivyo wanafanya mambo mengi sana ambayo mwanaume hawezi fanya....mambo ya kuwafanya wajizarau jinsia zao halafu mnajifanya eti ndo mnasaidia haifai
 
1.AKINA BABA HUWAPENDA ZAIDI WATOTO WA KIKE KWA VILE KWA KUMUANGALIA MTOTO UNAPATA PICHA YA MKEO ALIVYOKUWA ENZI ZILE.
2.ULINZI:HUWA TUNAHISI KUWA WATOTO WA KIKE WANAWEZA KUONEWA KULIKO WA KIUME.
3.MARA NYINGI WATOTO WA KIKE WANA TABIA NZURI ZAIDI YA WA KIUME,NI WATII nk.
 
waooo!!!!!!!!!! very interesting comment. main issue here is as parent let them be as god made them and not making them be like the way parents are because that will never hapen but as parent you have to be alert with any changes to your kids so that their remain in moral line because sometime we do mistake by saying let them be.
 

It's unnatural to act that way, you don't need to act like a man or need men characteristics to be confident. Embrace your feminine and you'll be a wonderful human being. Picture this a guy who tries to act, talk, look or behave like a woman wouldn't that look like he's competing with his own nature (unnatural)?

You sound like a person who believes it's wrong to be a woman, if I read you right, you have an intrinsic motivation that a person can't be complete unless she has a little bit of masculinity in her. It was for a good reason women/men act they way they do, trying to create your own invention won't cut it because their differences is numerological. Being feminine doesn't mean being weak or submissive, I have female friends who are natural, yet confident and powerful, they're educated, run their own companies but they don't wish or try to act like men.

It's unfortunate that in our societies, we look down on women but if we start here and go out to educate our people that it's wonderful (note I didn't say okay) for a girl to be a girl and women can do it, we'll get far in life.
 
I agree with you Chamoto 100%.. lakini kumbuka ni muda gani na katika mazingira gani unasema hivyo.... Kama mtu ameshadumazwa na mila na taratibu hizo potovu hawezi kukuelewa ukisema ongeza bidiiii .. .....

Naelewa kuwa maji yakimwagika hayazoleki lakini pia tusikate tamaa kuelimisha wenzetu, naelewa pia hata baadhi ya wanaume wanaoelewa hili huwa wanaendekeza hiyo tabia (mfano hiyo ya kulala chini ya sakafu) kwasababu kwa kiasi fulani wananufaika, inawafanya wajione wako juu. Hata hivyo tabia hii hudidimiza jamii kwasababu kama wanawake watajihisi wanyonge wataonyesha unyonge wao kwa watoto wao amabo nao wataendeleza hiyo fikra kwa kizazi kingine. Ukiangalia jamii zote zilizoendelea waliwawezesha wanawake na zile zilizodumaa kimaendeleo zinawashusha wanawake.

infact unaweza sema ongeza bidiii yeye akachukulia ongeza utii kwa mume

Pale nilikuwa namaanisha bidii, mfano ya darasani, binti anaambiwa akazane mtihani ujao apate 91% badala ya 90% hapa anashindana na uwezo wake kuliko kushindana na Tulizo ambaye anapata alama ya 95% kila mtihani.

Hapa tumeelewana vyema.
 
Ndugu yangu hao rafiki zako unaosema wame achieve na wana makampuni na bado wanaoneka ni more femine, ni kwa mtazamo wako. Waulize hata wataalamu waliosomea gender wakwambie all over the world successful women are compared to men whether its real or just people's perception! Hata ujirembe vipi as long as you are a CEO au Permanent secretary people will perceive you to be with more men's characters!


 
Mie hii sijainote vizuri nafikiri baba aliwatrain vile kwa vile aliona hakuna kidume home, kwa hiyo akawa hivo ili muweze kujiprotect wenyewe maisha yenu yote
 


EMT I am aware of the fact that zinahamishwa but was not aware that i do
appear there for i thot those who are who do not have access are
automatically programmed to not appear.... No wonder.....
 
Haya naomba unisaidie kwa mtazamo wako to be more feminine ni kupi
 

Hata mimi ningependa kujuzwa kuwa mwanamke ni kupi na kuwa mwanamke na character za mwanamme ni kupi.

Coz nami nawajua very successful women ambao siwaoni na characters za kiume hata kidogo.

Tunaomba muongozo
 

Sasa naanza kuamini kuwa mfumo dume unatetewa na kuendekezwa sana na wanawake wenyewe,which makes me wonder if it ever is a problem at all!so,men are not soft ndo maana dunia hai-take advantage kwao!,so,u dont spend your time with girls sababu wanaume ndo wanatumia muda mwingi kujadili maendeleo kuliko wanawake!,so,kwako relationships kwako is all about sex AND HEADACHES!baba yako amekuonea na kukudhulumu 'uanamke' wako na wewe hutaki kufanya jitahada zozote kuepuka!
 
Sasa naanza kuamini kuwa mfumo dume unatetewa na kuendekezwa sana na wanawake wenyewe!
Wanawake ndio kiini cha maendeleo katika jamii sasa kama idadi kubwa itakuwa na mawazo ya akina morio basi tunasafari ndefu ya kujitambua.
 
Kwani msichana akilelewa kama msichana bila ya kuambiwa awe kama mwanamme hawezi kuwa ngangari?

Hiyo dhana ya kufikiria lazima mwanamke umlee kama mwanamme ndio utapata mwanamke anaejiamini imefungamana na mfumo dume big time.
Nakuunga mkono 100% Gaijin. Kwa malezi ya namna hii, mwisho wa siku huyo unatengeneza dume jike fulani au kwa maneno mengine unatengeneza a woman with a man's attitude.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…