Ukweli ndio huu.Leo nimeshangaa sana baada ya kupitia report na data za DHS 2015/16. Yan vijijin mabinti wanaongoza kwa kuanza kufanya mapenz wakiwa watoto chin ya miaka 10, ni tofauti na mjini tunapodhani ndio pabaya kuliko basi kwa uhalisia vijijin mmenishangaza.
Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
Inategemea mkuu ila hebu tuonyeshe picha za hao watotoLeo nimeshangaa sana baada ya kupitia report na data za DHS 2015/16. Yan vijijin mabinti wanaongoza kwa kuanza kufanya mapenz wakiwa watoto chin ya miaka 10, ni tofauti na mjini tunapodhani ndio pabaya kuliko basi kwa uhalisia vijijin mmenishangaza.
Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
Watu kama nyie tokea mjini unakuta ndio mnagombea Ubunge! Hamjui hata maisha halisi ya watu wa bushi huko. Toka enzi na enzi huko bushi mtoto anamlea mtoto, nguo moja inavaliwa hadi inachanikia mwilini, maji yalipo kilometa 10, koroboi haina mafuta miezi6 iko uvunguni, jembe la mkono, kushika pesa ya noti kwa msimu.
Ndiyo Ukweli WenyeweTena ni zaidi ya balaa kule wazazi hawawachungi sana mabinti zao kwaio akienda kisimani anakutana na baharia anamlaghai kwa maembe,ndizi n.k basi baharia anakula tunda kimasihara chaaap kwa haraka vingine vikikaa vibaya baharia anamvutia vichakani anakula mzigo uku town kupata sehemu ya faragha ni tabu kule vichaka vinanuka ngono kama ambiansi
nasema uongo ndugu zangu?
Kabanga upo?Inasikitisha....
Nipo....Kabanga upo?