Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,135
- 48,827
ChandimuYani mzee mzima nakumbuka niling'oa mtoto mmoja wa uswaz mwenzangu kwa ajili ya hii kitu.
Sasa kuna siku nilifunga goli 20 peke yangu yani.....huku vipaji vingi sana vimepotea huku...yote ni kwa ajili ya malez ya bara letu kwa watoto.
Namiss sana enzi hiziView attachment 748243
Huo mpira usiombe ukaloana unakua ka jiweHebu tusiharibu uzi wa wenyewe.
Aisee kwenye safari za kuchota maji na kutafuta kuni au kukata majani ya mbuzi na ng'ombe...acha kabisa.
Kama una binti umevutiwa naye (na hapa ni primary..hata nikifirikia sasa siamini aisee!) basi unamvizia akienda kuchota maji. Unamwambia akusubirie mgombani, unaenda kumchotea unafanya haraka ukirudi anakutunuku.
Tulivyozidi kukua, tukaboresha unakuwa na maji yako tayari au kuni ulishakata, au asubuhi ile kabla hata hujaenda shule unawahi unakata mifuko miwili ya majani...jioni mkitoka shule unamwambia utampa nusu..mnakutana migombani mnafanya barter trade!
Kwa kweli nikiri hilo suala la kutumia kondomu kufuma mipira ilikuwa jambo geni (na anasa) kwetu. Tena nakumbuka tuliwahi kwenda kwa wajomba (upande wa mama) tukakuta wanatumia lile gamba la mgomba. Kamba yake ni ngumu balaa, mpira haukatiki haraka ila nao unaumizaje.
Ah utoto raha sana jamani....
wazee wengi sana walikua hawataki wanao tucheze mpira....lkn leo wanapiga kelele " oooh kichuya noma nomaaa"" sasa sijui wanadhani kazaliwa anajua!!??Nimeng’oa kucha kisa mpira, nilishawai kumpasua jamaa uso kisa mpira. Niliponea kufukuzwa shule baada ya hapo mzee akanipiga marufuku kucheza mpira, sekondari nikawa shabiki tu.
Nimeiona vp nikutumie?aiseee.....ile video ya nandy mpya umeiona??
[emoji16][emoji16] tabia mbayaMamdogo na shost zake ndio ilikua zao kucheza lede basi mm sikai mbali ili nione vichupi 😀🙁🙂🙂
DuuuHebu tusiharibu uzi wa wenyewe.
Aisee kwenye safari za kuchota maji na kutafuta kuni au kukata majani ya mbuzi na ng'ombe...acha kabisa.
Kama una binti umevutiwa naye (na hapa ni primary..hata nikifirikia sasa siamini aisee!) basi unamvizia akienda kuchota maji. Unamwambia akusubirie mgombani, unaenda kumchotea unafanya haraka ukirudi anakutunuku.
Tulivyozidi kukua, tukaboresha unakuwa na maji yako tayari au kuni ulishakata, au asubuhi ile kabla hata hujaenda shule unawahi unakata mifuko miwili ya majani...jioni mkitoka shule unamwambia utampa nusu..mnakutana migombani mnafanya barter trade!
Kwa kweli nikiri hilo suala la kutumia kondomu kufuma mipira ilikuwa jambo geni (na anasa) kwetu. Tena nakumbuka tuliwahi kwenda kwa wajomba (upande wa mama) tukakuta wanatumia lile gamba la mgomba. Kamba yake ni ngumu balaa, mpira haukatiki haraka ila nao unaumizaje.
Ah utoto raha sana jamani....
Watu wazima kwann wasitulie kazi kucheza mbele za watto. I was very youg 11[emoji16][emoji16] tabia mbaya
Mkuu mi nakumbuka nilifungwa pop aka muogo mpira tu huo vidole viliteguka nikajificha kimya nimerudi jioni jua limezama sijaoga wacha nipigwe na chelewa miguuni na Bro namwambia nimeumia hasikii asubuhi wacha Mama anione mguu umevimba alikimbia hospital kanibeba na mbeleko hadi magari aliona yanamchelewesha dah nikikumbukaga Rip mum[emoji22] nimedeka sana enzi zangu.Nimeng’oa kucha kisa mpira, nilishawai kumpasua jamaa uso kisa mpira. Niliponea kufukuzwa shule baada ya hapo mzee akanipiga marufuku kucheza mpira, sekondari nikawa shabiki tu.
Sie tulikuwa tunaita Sambi na ukipiga doso (yaani kwa dole gumba) mwenye mpira anakutoa maana unasababisha mpira kufumukaMi nilikuwa nikija na mpira wenyewe tukiita "sembo" lazima nicheze mwanzo mwisho, nikitolewa tu natambaa na mpira wangu mechi inaisha!
Na ulikuwa hauna refa lakini bado wachezaji waliheshimiana na kukubaliana kwamba hiyo ni faulo...pia mpira ulikuwa hauna mwisho yaani utachezwa dakika kadhaa, mpira unaisha mpaka mwenye mpira aamue au wacezaji mmoja mmoja wanaitwa wakaoge ama wakafanye shughuli za kuwasaidia wazazihuu mpira ulikua hauna wakukaa nje labda kama ni mtu mmoja yan mkiwa wawili tu kila mtu anachagua kwa kufunga ngoma inaendelea hata muwe 30 ilikua poa tu tulikua tunaita 'nyanka'
tulikua tunaita tobodundaSisi kushika ilikua ukata wa nyumba ya mwalimu kama umbali wa viwanja viwili, kama huna mbio wafwa
Nimecheka sana aisee afu huaga majamaa yanakudunda kweli hadi unatapika udaga!tulikua tunaita tobodunda
kitambo sana i miss those days
kuna majamaa yalikua yanakaa karib na mti yenyee hayachez kaz yao ni kukuzuia usishike mti mpk ule kichapo kwanza
noma sana
Kondomu inapulizwa kama puto afu juu mnaweka masponji ya godoro mnafuma kwa nyuzi badae mnashonea vitambaa tofauti tofauti kama gozi vileooh mkuu basi nyie mmekuja juzi...kizazi chetu sisi ilikua ni kondomu tu....yani ilikua noma sana hyo
[emoji23][emoji23][emoji23]daudi nomanoma sana enzi izo nakumbuka tulikua tunachezea sana mpira wa karatasi (nyanka) kuna dogo mmoja wa kishua akaja na mpira wa gozi mzee ...tukatamania kichiz sema dogo anabania ...bei ulikua unauzwa 1300 tukasema kama vipi tujichange tulichanga kama wiki mbili ivi ikatosha hel ya kununulia gozi na bahat nzuri skuio ilikua ni jumapili kwenye gulio huwa wanapunguza bei ...
basi mzee tukanunua mpira ule tukamkabidhi daudi msenjelwa kwakua tulienda jioni zaid (mana jion zaidi ndo bei inapungua zaidi)
ikabidi mpira tumuachie daudi tutacheza kesho tukirudi shule
jumatatu shule kamakawa darasani muda auendi tunawaza kurudi tukachezee (tukapute) gozi
mda wa kurudi umefika ile kufika kwa kina daudi tunaona anatia huruma tu kumbe shule hajaenda ameshinda anachezea gozi tu mpaka akalipasua kwenye msumali wa paa la nyumba
tulimmaindi kichizi yan mpira umeharibika hatujaugusa hata kidogo hadi leo nikimkumbusha huwa tunaishia kucheka tu