escrowaccount
Member
- Jan 16, 2015
- 98
- 22
:A S-baby:Wana wakuu.
Kwa uzoefu mdogo nlionao nimegundua kuna tofauti kubwa sana wa kimapenzi kati ya mademu wa kishua na wale wa kajamba nani,demu wa kishua akikupenda kakupenda kweli.
Ila wale wahali duni akikupenda jiulize mara mbili mbili kakupendea nini, wengi wao sio mapenzi ni anakupendea ulichonacho eg pesa ili apone njaa.
Mimi nina mfano hai,kuna mtoto wa kishua kaniganda kama nini, na wala hataki chochote changu, namfanyia visa tuachane bado tu hasikii sitaki kumuoa.
Kwa sababu ni mchaga na mimi msichana wa kichaga sitaki awe mke wangu, huwa nagonga tu nasepa.Kwa hili nimegundua mapenzi ya kweli yapo kwa watoto wa kishua kwa asilimia kubwa.
Samahani kama mada imekukwaza.