Elections 2010 Watoto wa kitanzania walemavu wafanywa kitega uchumi kenya nini kauli jk?

Elections 2010 Watoto wa kitanzania walemavu wafanywa kitega uchumi kenya nini kauli jk?

Hiyo ndiyo tofauti kati ya Tanzania na Kenya. Pesa kwanza Utu baadae. Namuomba yule rafiki yetu MkenyaMzalendo wa humu JF atueleze kidogo hii kama na hili ni smartness ya wakenya au ni dalili ya jamii iliyooza.
 
Back
Top Bottom