Watoto wa kiume wa Anorld Schwazzeneger

Tyrone Kaijage

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2021
Posts
1,617
Reaction score
3,405
Hii ni moja ya picha ya mategemeo ya ukuaji kwa watoto walio chini ya uangalizi wa baba na walio chini ya uangalizi wa Mama, sio tuu kiumbo bali,kiakili na kihisia yaani hulka jinsia kwa ujumla.

Kiasili inafanya kuamini muonekano ndio asili na tabia za jinsia ingawa uhalisia wa siku hizi ni tofauti.

 
SINGO MAZA, NDIO CHANZO CHA USHOGA NCHI ZA MAGHARIBI, TUENDELEE KUVUNJA NDOA, ILI KUENDELEZA KIZAZI CHA MASHOGA.
 
Mabaunsa Sina Imani nao kabisa siku hizi!na huyo Tusekelege hapo nyuma ya baunsa mbona hachangamkii fursa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] cheusi mangala muoga jamanii. Lol
 
Unakuta huyo baunsa ndo papai 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…