sawa house girl anafanya lakini ndio substitute ya mama? sasa baba substitute yuko wapi?
kwa hali ya maisha ilivyo wakati mwingine inabidi mahousegirl wakae na watoto na wazazi kwenda kutafuta riziki,,ila tuwe na ratiba maalum ya kutumia siku za weekend na watoto wetu.
Yaya hawezi kuwa mzazi jamani! basi tuwape na haki za kutambulika kwamba wao ndio wazazi wa msingi! maana mtoto anamsikiliza dada kuliko hata wazazi wake! ama wazazi wanageuka kuwa viraja mtoto anapoleta usumbufu!Na inabidi kuwapenda hao ma yaya ili wa reproduce hiyo love kwa wanetu (though not guaranteed) otherwise ukiwa mkali sana na maonevu yasiyo na maana eti kwa sababu unamlipa then expect revenge itaenda kwa mwanao
Muumba atuepushe na madhila haya
Ni hatari, halafu wazazi kwa moyo mweupe tunasema, yaani huyu mtoto anavyompenda dada yake we acha tu! Mimi nikijaribu kumlisha anasumbua hatari! kwahiyo, hilo la lafudhi zawadi nzuri ya mtoto kwa dada! Mtu ukimtunza si lazima akurande bwana! Ndio wale wanasema! yaani huyu mtoto hafanani tabia kabisa na wazazi wakeJirani zangu Wachagga.........mtoto wao anaongea lafudhi ya Kigogo
kazi kweli kweli! yote sawa tu!Mkata nyasi
Mcharazo wa bi mdogo unahitajika.