Watoto wa miaka ya 90 huu uzi haukuhusu, wakubwa njoo tukumbushane.

Watoto wa miaka ya 90 huu uzi haukuhusu, wakubwa njoo tukumbushane.

Hivi humu wengi ni wa miaka ya 90,





Nyie wahenga uzi huu una wahusu
 
Ngoja kwanza bibi yenu atoke shambani ndiyo tukumbushane vizuri
 
Ndiyo maana umekosa " Repliers " eti watoto hawatakiwi nyoooooo...!! We mwenyewe mtoto hapo ulipo. [emoji1] [emoji23] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108]
 
Hii ni twist beat, hata wa seventies aliusikia kwenye kipindi cha zilipendwa idhaa ya Taifa (Radio Tanzania), aliyeucheza wakati unahit ni wa fifties kurudi nyuma.
 
Back
Top Bottom