Ndiyo maana umekosa " Repliers " eti watoto hawatakiwi nyoooooo...!! We mwenyewe mtoto hapo ulipo. [emoji1] [emoji23] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108]
Hii ni twist beat, hata wa seventies aliusikia kwenye kipindi cha zilipendwa idhaa ya Taifa (Radio Tanzania), aliyeucheza wakati unahit ni wa fifties kurudi nyuma.