jamaa amekaa nyumbani na mkewe akamwambia :'mke wangu unajua nilizaa nje ya ndoa watoto wawili so leo nawachukua nawapeleke kituo cha kulelea watoto yatima wakatunzwe huko'. Wife kusikia vile akahamaki akamuuliza mbona miaka yote hukunambia? Jamaa akaomba msamaha yakaisha kisha huyoo akaishia kwa watoto wake. Baada ya masaa matatu akarudi home kucheki hivi wagtoto wake watatu hawaoni kuuliza wife akajibiwa" baba zao wamekuja kuwachukua wamewapeleka kituo cha watoto yatima". mume akazirai