Watoto wa Mzee R. Mengi na PR ya kawaida ktk Jamii!

Status
Not open for further replies.

ndyoko

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
4,971
Reaction score
1,652
Nimependa mtindo wa maisha ya watoto wa huyu Mzee.
Hawana tabia ya kuji show off mbele ya jamii pamoja
na ukweli kwamba dingi ana chenji ya kutosha ya kuwafanya
waweze kuwapelekesha puta watu wengine kama wanavyofanya kina
Miraji na Ridhiwani-kumbuka UVCCM na kampeni za Uchaguzi mkuu 2010,,
mtoto wa Warioba aliyetishiaga watu kwa bastola, mtoto
wa kigogo aliyeua mtu kwa mwendo kasi mtaani nk.

Regina, Late Rodney na wengine bravo kwa sana.

Note: Nimeongelea PR ya wahusika mbele ya jamii na sio maisha binafsi
maana kuna wengine humu hatua moja mbele!
 
Mtoa uzi ni kweli,hawa jamaa hawako na show offs,ama ostentatious kivile kama usemavyo..

Nadhani ni malezi mazuri ndiyo yanayofanikisha hilo...
 
Kina Riz na miraji wamekuta hela ukubwani enzi za mwalimu viongozi wa serikali walikua hawana hela kivile,sasa hao ni ulimbukeni tu wa kina riz1,hv miraji ashaacha bangeee?
 
Kina Riz na miraji wamekuta hela ukubwani enzi za mwalimu viongozi wa serikali walikua hawana hela kivile,sasa hao ni ulimbukeni tu wa kina riz1,hv miraji ashaacha bangeee?

Si rahisi kuacha...

Ila...ana tabia ya udokozi.. Aliwahi kuchukua nyumbani kwao zaidi ya 300M (source:humuhumu JF) na kuchukua rafiki yake mmoja au wawili..wakaenda kula bata abroad,sikumbuki wapi,ila si Europe,wala States..
 
Yap jamaa ni mwizi kweli pia alishawahi kuiba gari kwao dingi yake jk alimfukuza akaenda kukaa block 41 na kina kalapina,baada ya dingi kushika ikulu akakorofishana na kina pina akarudi kwao dingi akampeleka S.afrika kula kitabu! Duuu nilijua kashaacha bangi kumbe anaendeleza libeneke.
 
Watoto wa Mengi ni old money, meaning wao wamekulia hiyo hali na wanaona kawaida.
Wale new money ndio huwa wanapenda kushow off sana. Wanafikiri thamani ya utu inaendana na kiasi cha pesa. Ndio maana wanafanya mambo ya kufuru mengi na kuonyesha public kuwa wao wana pesa sana.
 
watoto wa Mengi nimesoma nao primary school,ilikuwa sio rahisi kujua kama wanatoka familia ya watu tajiri,kwanza kwa waalimu wetu hawakupta shida kabisa na hao jamaa kuonyesha upendeleo na vitu kama hivyo,yule mzee ni mkali kinoma akiwa home,achana naye!
 
Akina Motie (R.I.P) na wenzake wanazaliwa tu walikuta njia ya kwenda kwao
imeshajengwa kwa tiles, na majumba ya kifahari yamewazungukwa,
sasa watambe na nini kipya. Tatizo ni hawa ambao wamepata ukubwani.
 
Pasco ange comment hivi...

afu hapo hapo lazima angechomkea na maneno haya ili kuwa spin vizuri..
 
hahahahahahahahahahah ubarikiwe aisee...nimecheka bila kutarajia!
 
Pasco ange comment hivi...

afu hapo hapo lazima angechomkea na maneno haya ili kuwa spin vizuri..

Yo yo unaonekana unamfahamu sana Pasco, nashauri umwandikie kitabu kabisa.
 
hahahahahahahahahahah ubarikiwe aisee...nimecheka bila kutarajia!
Huyo ndio Pasco wa JF bana....yeye anajua kila kitu..alafu huwa anasahau alichokiandika......
 
mbona hujamzungumzia mwanaasha naskia

wakati anasoma kifungilo kabla hajatimuliwa

mama yake alimpelekea vitu ikiwemo mablanketi

mkuu wa shule akamkatalia akamwambia kama vipi

apeleke kwa wanafunzi wote basi Salma akarudi na mamizigo

yake huku nyuma mwanaasha akasusa kimtindo

na kiburi kwa sana mwisho wa siku akashindwa kupata

maksi zilizotakiwa wakamtosa ndo akapelekwa feza

matokeo ameitia shule aibu isiyo kifani
 
Si rahisi kuacha...

Ila...ana tabia ya udokozi.. Aliwahi kuchukua nyumbani kwao zaidi ya 300M (source:humuhumu JF) na kuchukua rafiki yake mmoja au wawili..wakaenda kula bata abroad,sikumbuki wapi,ila si Europe,wala States..

Mil 30,alizitumia arusha,nairobi na mombasa.anyway watoto wa wanasiasa,wafanyabiashara wanaharibiwa na haiba za wazazi.ni busara tu za mzee mengi
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…