Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila shaka ni Afro Sabini Band![]()
Kabla ya akina Kusaga na wengineneo kulikuwepo hawa....Marehemu Patrick Balisidya aliesimama kulia na huyo aliemwekea mkono begani ni Stephen Balisidya,alie katika usukani wa hiyo Honda 125 ni Jack(shot jeep) aliechuchumaa kushoto Ibrahim Choyo juu mwenye kaperp Salim James Wills waliobaki mtamalizia wengine...