Watoto wa Mzizima (Dar) enzi hizo

HNIC

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2011
Posts
1,898
Reaction score
2,197


Wad Yusuf Manzi,Mussa Shagow,Boi Risasi na Mohammed Bakar Tall wakimsikiliza mwana historia Mohd Said mwenye shati la maua
 


Kabla ya akina Kusaga na wengineneo kulikuwepo hawa....Marehemu Patrick Balisidya aliesimama kulia na huyo aliemwekea mkono begani ni Stephen Balisidya,alie katika usukani wa hiyo Honda 125 ni Jack(shot jeep) aliechuchumaa kushoto Ibrahim Choyo juu mwenye kaperp Salim James Wills waliobaki mtamalizia wengine...
 
Bila shaka ni Afro Sabini Band
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…